House girl malaika

House girl malaika

jrmlaurence

Member
Joined
Dec 2, 2010
Posts
80
Reaction score
57
Mtoto alikuwa akimwambia mama yake kuwa kila siku amekuwa akimwambia kuwa house girl wao ni malaika anabisha. Mama akamuuliza kwa nini?
Mtoto akamjibu, kila siku namkuta akipiga kelele akitaka kurudi mbinguni.
Jana ndio kidogo tu arudi mbinguni; yani isingekuwa baba leo angekuwa kasharudi, Baba allikuwa nyuma yake akijitaidi kumzuia lakini yeye akawa kainama huku akipiga kelele '' Oooohhh my God i'm coming, i'm coming x4. Wee muulizie tu baba atakuambia alivyojitaidi kumzuia mpka akatulia.
 
sio hawa watoto wa DOT COM....mana watoto hawa wanajua mambo mpaka unaona aibu.labda huyo kid ni under 4 years.
 
huyo mama hakudondoka kwa presha?
 
ila wanasaidia sana kutuliza mizuka wakati mama akiwa hajui kazi yake vilivyo
 
wa2 wengine mnaboa we unaingia jukwaa la utani na madaftarili utuoshee au? Sa hiyo mmu yako ni ile ya kubeba emulsion explosive au?
 
mnakaa mnawaza hayo tu, mda wote, sasa hapo hiyo post inatusaidia nini hapa? hlf na wewe useme ni Great thinker.
kweli we chiz,somaa kwanza jukwa linaitwaje,kapimwe akiri wewe!umevamia jukwaa...kwel we wa kusoma.
 
usimwamini h/girl hata siku moja hasa kama ana miaka toka kwao na umemlisha na kumvalishana ukamfundisha hata ku........
 
wewe baba unayetaka kumpeleka /unayempeleka h/girl wako mbinguni ,fikiria kama jama angekuwa na wako wa nyumbani ungefanyaje ?
mkuki kwa nguruwe kwa binadamu uchungu .
 
Back
Top Bottom