CCM kuna ajira za kutosha bwashee!johnthebaptist kuna ajira huku, njoo ufanye maombi ili uhame pale lumumba.
Hahahaaaa.........!Sasa boss mshahara wa 70k nikafungue Ac bank?
Au ndo mambo ya makato ya nssf, nhif n.k?Hahahaaaa.........!
Fungua na TIN Number kabisa.Sasa boss mshahara wa 70k nikafungue Ac bank?
AseeeFungua na TIN Number kabisa.
Kama umewahi kukaa na house girl utakua unaelewa maana yangu, ukimpa cash unakua unamuonea maana hata siku ya kuondoka atakua hana kitu, hela yote inaishia kununua vitu vya wamachinga na kununua ubuyu na azam icecream...Aseee
Sawa,, ila utamuinea elimu ya ATM anaijua? Namna ya utoaji pesa?Kama umewahi kukaa na house girl utakua unaelewa maana yangu, ukimpa cash unakua unamuonea maana hata siku ya kuondoka atakua hana kitu, hela yote inaishia kununua vitu vya wamachinga na kununua ubuyu na azam icecream...
Wanaoishi na wadada wanaelewa, watoto wadogo mnao ishi kwenu au magetoni hamwezi kuelewa hii.
Wengi wanatuma sana pesa nyumbani walipotoka, sio kununua ubuyu tu.Kama umewahi kukaa na house girl utakua unaelewa maana yangu, ukimpa cash unakua unamuonea maana hata siku ya kuondoka atakua hana kitu, hela yote inaishia kununua vitu vya wamachinga na kununua ubuyu na azam icecream...
Wanaoishi na wadada wanaelewa, watoto wadogo mnao ishi kwenu au magetoni hamwezi kuelewa hii.
Semina mihimu kaka
Inabidi uwe unamuwekea na ya kutolea ,ukiweka 70k kama 70 Bank atakuja kutoa elfu 40.......Maana elfu 20 kishika account ,Kutoa pesa elfu 2 ,hiyo 48 kwakuwa hakuna kutoa elfu 5 itatoa elfu 40.
Good Idea.Akipata mtu aliyeishia form 4 au 6 ambaye maisha yamempiga anatafuta pa kuanzia kukitegemea mshahara anamuwekea kwenye njia za malipo za simu huku akimsisitiza kuweka akiba yake kwa malengo walau afanye kazi hapo kwa miaka 5 kisha nae she afungue sehemu yake ya kupika keki na kuuza maana ujuzi atakuwa keshaupata.
Hapo rahisi kupata mfanyakazi atayejikomiti kufanya kazi atimize malengo yako ili na yeye yakwake yatimie.