House4Rent House for rent needed, budget TZS 18,000,000

:rolleyes: Kwa haya Magepu kweli tutaacha Kuchanganyikiwa???? 1.6M/month only for House rent???? Na bado ukaamua kuua kabisa eti upo teyari Kulipa Kodi ya Mwaka:eek::eek::eek:.
Embu tumia Hiyo hela kujenga ya kwako tuone kama Hutomaliza only 2Month na ukaa kwako.

Chaaaa Leka naiyo mleu!

Kaka inaweza kuwa Kampuni pia, so usiwe na pressure kwamba umeachwa sana
 
Tuwe makini,wengine no matapeli na wezi wanakuanzia mbali sana wala lengo sio kupanga nyumba,wanajenga mazingira ya kuaminika na kukusoma na ikitokea kutokuwa makini kwa mfano mpo garini anaweza kukuhadaa na kuondoka na simu yako nzuri,usimuamini MTU yoyote hata akikuambia Twende benki nikakulipe mwisho anakuzubaisha anakuomba simu aongee Mara mbioooo,ni uzoefu wangu huo
 
Huyu msaka nyumba kiboko yao. Ila sidhani kaka amekosa nyumba zaidi ya show off za hapa JF
Usahihi zaidi:

Kwa bajeti hiyo ya $800 (yaani Tsh 1,600,000/-) nilikosa nyumba niliyohitaji hadi nilipojisogeza zaidi hadi kufikisha 2m per month na wanalazimisha utoe mwaka!

Hali halisi:
Soko la nyumba maeneo haya nimebaini limezungukwa na madalali na wenye nyumba bado wanakomaa kutoza kodi kwa DOLLAR. Nadhani Serikali inatakiwa kuingilia sana kwenye hili maana thamani ya shilingi inapotezwa na watu kama hawa.

Mwisho:
Kwa wanaodhani ni show-off, ukiona kibao kimeandikwa "House for rent wewe chukua namba upige usikie kama hujatajiwa $3,000-$8,000 per month na mtu anaongea kama anataja vijikaratasi flani hivi!

Asanteni
 
....thamani ya shilingi inapotezwa na watu kama hawa!..
...ni kwamba hela zako ni za majini,ama chicha limekolea nazi!??
 
Bei ya kupangisha nyumba baadhi ya maeneo bongo ni ghali kuliko mtu anayeishi New York au Tokyo...it's ridiculous.
 
Habari mkuu Nicheki 0689315582 nikupe nyumba mbezi beach kwa 1.6m ...zipo mkuu tumechelewa tu kuona tangazo lako wadau
Ina maana bei ya nyumba yako ni 1.6 kama alivyotangaza jamaa au ni coincidence?
Au umeamua umechezesha jamaa wimbo anaoutaka?
Duuh
 
sasa si ujenge yako? dah kuna watu hawana akili duniani
Kodi yake kwa miaka miwili anapata kiwanja saaafiii sana tena sehemu nzuri.
Na assert zake zote anapaka mkopo anajenga hata ndanni ya mwaka anahamia.

Ila huwezi jua kila mtu ana vision zake
 
Back
Top Bottom