Michoro ya ndani muhimu dada
Usiuze kiwanja mate, ardhi ni reliable asset. Ninajenga yangu in imagination hapa hapa kwetu Kwamtogole.Sky Eclat mate you have made my day ! 😍👌🙏
Hahahhhh nimeishia kujenga mbili kwa matofali ya barafu ndani ya oblangata yangu (imagination)
Zinapendeza zinavutia sana
Ngoja nifanye mchakato wa kuuza viwanja viwili labda nitaweza kujenga kwa matofali ya kikwelikweliii