house boy | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

house boy

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Saint Ivuga, Apr 29, 2011.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  Apr 29, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,267
  Likes Received: 19,410
  Trophy Points: 280
  kuna ambaye hajaolewa hapa au kaachika ni mpweke awe na familia au asiwe nayo
   
 2. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Mimi nimeachika. H'boy kafanyaje?
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Apr 29, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,267
  Likes Received: 19,410
  Trophy Points: 280
  ndio nataka kuwa h/boy
  ni ku pm?
   
 4. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #4
  Apr 29, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,966
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  Leo vp Ivuga umeshapata valeur tayari nini?
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  Apr 29, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,267
  Likes Received: 19,410
  Trophy Points: 280
  sio mzee, natafuta mtu mwenye upweke
   
 6. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #6
  Apr 29, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  hahahahahah lol
  mbavu zangu dahhhh
   
 7. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #7
  Apr 29, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,966
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280

  Powa,nitakutafutia.
   
 8. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #8
  Apr 29, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hahahahahaha! Kwan vp ile ndoa imeyeyuka??? Nitumie CV nione kama utafaa kuwa h'boy wangu.
   
 9. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #9
  Apr 29, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,267
  Likes Received: 19,410
  Trophy Points: 280
  poa nakutumia ,dokezo tu ni kuwa naweza kupika kutandika na kufua nguo zote nyembesi na ambazo sio nyepesi. hapo unasemje?
   
 10. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #10
  Apr 29, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hapa naanza kukufikiria. Unaweza ukanifaa. Hahahaha! Hapo kwenye kufua nguo nyepesi patakufanya upite bila kupingwa!
   
 11. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #11
  Apr 29, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,267
  Likes Received: 19,410
  Trophy Points: 280
  hahhaha!! assante hapa nishakuwa an uhakika wa kupita bila kupingwa , na napendelea zaidi hizo nguo nyepesi ziwe nyeupe kwa sababu zikiwa ni nyeusi itakuwa sio vizuri, nyeupe zinavaliwa mara moja tu , haya mambo afro anayajua sana
   
 12. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #12
  Apr 29, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,267
  Likes Received: 19,410
  Trophy Points: 280
  afro d hatujaonana mda mrefu kweli yaani, whos keeping bussy
   
 13. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #13
  Apr 29, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,192
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  kumbe hata kupost humu ndani inabidi ujipange, vinginevyo utaandika vitu unavyoelewa mwenyewe.
   
 14. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #14
  Apr 29, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Kuhusu rangi usijal, hizi nyepesi zangu zote ni nyeupe! Sasa ngoja nishauriane na mshauri wangu then ntakuita kwa interview ya uso kwa uso! Afro D analijua hili lakini??
   
 15. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #15
  Apr 29, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,267
  Likes Received: 19,410
  Trophy Points: 280
  na ndio madhumuni ya post yangu, si umeona ushakamatwa? najua hadi hapa huelewi kitu,kuna jukwaa la siasa kule
   
 16. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #16
  Apr 29, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Aende zake bana sisi tuendelee na mazungumzo yetu. Kapotea njia huyu, mfungulie mlango atoke upesi.
   
 17. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #17
  Apr 29, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,206
  Likes Received: 3,771
  Trophy Points: 280
  Nawe pingamizi!! We mkuu Ivuga ile dozi yako ya hiv hujaimaliza,una gono lenye umri wa 10 yrs,mkeo alisha wahi kukufikisha kituo cha polisi ushoga, yule mpemba anajiaandaa kuleta posa kwenu na Sl umemdanga mteja wako kuwa we nimjane wakati mimi mmeo nipo na tupo wote mda huu.

  Kwa hayo yote naweka pingamizi na ninawasiliana na wakili wangu mpka saa sita usiku kesi itasomwa pale kisutu!!!!!!
   
 18. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #18
  Apr 29, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  hahahahaha! We nae umekurupuka! Ivuga kaomba kuwa h'boy wangu, sasa hayo mengine yanakujaje?? Anakuja kufanya kazi tu na sio kama unavyofikiria wewe.
   
 19. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #19
  Apr 29, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,267
  Likes Received: 19,410
  Trophy Points: 280
  nangoja , afro d yuko masomoni na haruudi sasa hivi ndio maana nimeamua kutengeneza pesa kwa njia hii
   
 20. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #20
  Apr 29, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,267
  Likes Received: 19,410
  Trophy Points: 280
  hahahhaha!! mwenzangu sweety lady unalo aisee, jamaa ni carelessy namna hii, sasa huyu kama nyumba ndogo inatoa/inagawa mtandao wa simu halafu na wewe hugawi si anaweza kuwachanganya ati? hahah
   
Loading...