House Boy

House Boy

NNYAMBALA

Member
Joined
Mar 3, 2011
Posts
85
Reaction score
12
Kulikuwa na Mfanyanyabiashara aliyekuwa anaishi na Binti yake, Vijana wengi walimfukuzia yule Binti bila mafanikio.Ndipo Kijana Mmoja akaenda kuomba kazi za ndani, na alipofika akajitambulisha kuwa yeye anaitwa K (yaani ile inayomeza mwenzake).siku moja akapika viazi ambavyo yule Bintui hakupenda kula, basi Kijana K akampelekea yule Binti ale lakini akawa anakataa kwa saa akisema na kulalamika "Mimi viazi sitaki" Baba aliposikia akamwambia Mpe K ale.
 
nadhani hapo mwisho ni mpe K ale!
 
inanikumbusha enzi zile vi malaika ndio vinaanza kuota.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom