Kubwajinga
JF-Expert Member
- Jan 23, 2008
- 2,193
- 299
Pia tusishangae akiamua kuingia mitini tena mwa mwezi wa tatu mfululizo.
Mungu ibariki Tanzania
oh Ya!, Alikuwa Very Goood Kwenye Interviews Lakini Akashindwa Kujenga Hata Nyumba Kwao Masasi, Na Hata Baada Ya Kustaafu Akajenga Lushoto Tanga Kwa Marafiki Zake Kina Ngwiliz Na Kigoda,
Badala Ya Kujenga Kwenye Mizimu Ya Mababu Zake, Masasi, Je Tulitegemea Nini Kutoka Kwa Huyu Msomi As Far As Taifa Is Concerned?
July ndiyo inayoyoma hiyo, JK atalonga au ataendelea na ububu wake kuhusu maswala muhimu yaliyoigubika nchi.
Usanii wake wala nguvu zake hazimfikii mtu kama Bush, mambo yeshamzidi nguvu na kwa sasa atavyoropoka mara nyingi ndio atavyofupisha njia zake za uongo maana mwisho wa uongo utakuwa karibu kupita kiasi.Hotuba hizi zitakuwa na maana na umuhimu unaokusudiwa endapo zitakuwa LIVE na mbele ya waandishi makini au Bungeni na kisha aruhusu maswali. Vinginevyo hazina tofauti na zile tunazoziona kwenye taarifa za habari. Akina Bush wanaweza karibu kila wiki. Yeye anashindwa nini?