Hotuba za Nyenyere

kinyoba

JF-Expert Member
Jun 2, 2011
1,267
718
Wadau mi huwa nazisikia hotuba za Nyerere mara kwa mara kwenye TV. Kinachonishangaza ni inakuwaje mtu amefariki miaka 12 iliyopita lakini hotuba zake ni kama amezitoa mwaka huu tena hata unaweza kusema ni mwezi huu? Hasa ukizingatia hali ya siasa nchini hivi sasa! Wakati mwingine unaweza kudhania anamsema mtu fulani au kikundi cha watu fulani.
 
Then tunasema tuna moderators ambao huangalia kila Thread inapoanzishwa .... .... ... well, very good son you've made your buck!
 
Mods: naomba mrekebishe heading hotuba za NYENYERE, labda kama kuna mtu wa jina hilo anaezungumziwa, nadhani NYERERE ni sahihi
 
Back
Top Bottom