Hati yetu ya mashitaka iliachana na neno deed ikachukua neno for the purpose of intimidating the Executive na hapa ikaachana na intimidating legislature or the Judiciary.
Waheshimiwa Majaji kwenye kuhusu mtu yeyote au kikundi cha watu tumetumia neno umma badala ya mtu yeyote au kikundi cha watu.
Hiyo person or group of persons they are coming from public,
Jaji Ndunguru: Sasa uongeze sauti hatukusikii kabisa.
Matumizi ya neno shall be liable ni msimamo wa sheria kwamba adhabu katika shitaka hili ni kuanzia 0 up to death penalty. The maximum penalty in death by hanging.
Kasuga: Mshitakiwa ndiye aliyerusha kwenye mtandao wa Jambo TV.
Katuga: Mashahidi wote wa Jamhuri waliyasikia hayo maneno yaliyopo kwenye hati ya mashtaka, ... na PW17 mtumishi wa Jambo Tv aliyasikia na kuyarusha moja kwa moja. 😯😯😯😯.
Waheshimiwa naomba tu break.
Tupo tayari kuendelea.
Hivyo hayo maneno yaliyotokana na hotuba ndefu ya mshtakiwa ni maneno yenye sentensi timilifu na zenye kueleweka.
Neno uasi ni kitendo cha uvunjaji wa sheria kinachofanywa na kikundi cha watu kwa lengo la kujaribu kubadili mfumo wa kisiasa wa nchi yao. Duh! sio public tena.
Nimeleta hii kesi japo ushahidi tunaoutumia ni wa Brenda Rupia.
Maneno haya kwanza yalisambazwa kwa mara ya kwanza tarehe 3/4/2025 kwa watu walioko kwenye mkutano. ... uhaini unapangwa kwenye mkutano wa hadhara?
Ni kweli ushahidi wetu unatofautiana lakini Minor contradictions ni vitu ambavyo haviepukiki wakati wa trial.
Ni submission yetu hizo minor contradictions does not affect the root of the case.
Ni hayo tu kwa upande wa Jamhuri.
Kwahiyo Mahakama kwa utashi wake inaweza kutoa adhabu yoyote.
Jaji: Mshitakiwa una rejoinder yoyote?
Lissu: mimi nilimaliza jana. 😆😆😆😆.