Hotuba za John Magufuli vs John Kennedy

Hotuba za John Magufuli vs John Kennedy

Daaa kuna watu wanajua mifano!! Eti ushuzi na , marashi Ahhahahaa so funny
 
Kuna haja ya kuambiana ukweli kwenye mambo ya kweli.....

Ukweli sio kuambiana unafiki kwenye mambo ya kweli "

Ukiwa mkweli kuwa kweli kwenye pande zote sio kuongea ukweli uku na kule pia unaongea unafiki.......

..lakini kuna namna ya kuambiana ukweli.

..kennedy aliwaambia wananchi wake ukweli ktk ile hotuba maarufu ya "ask not what american can do for you, but what you can do for your country."

..sasa sisi ni lini tumeambiwa ukweli? Hotuba za kuzungumzia keterero, sijui kufyatua, jecha apewe nishani, ..ndiyo kuambiana ukweli?

..kila anachozungumza kiongozi wa nchi kinawekwa maktaba kwa kumbukumbu ya vizazi vijavyo.
 
Kuna haja ya kuambiana ukweli kwenye mambo ya kweli.....

Ukweli sio kuambiana unafiki kwenye mambo ya kweli "

Ukiwa mkweli kuwa kweli kwenye pande zote sio kuongea ukweli uku na kule pia unaongea unafiki.......


kwamba sikuleta vibration

ila sijui pia nani kala helpdesk respondents

aha aha !!
 
Hakuna Kitu sikipendi kama vitu vyakisiasa vya tanzania kuvifananisha na vya dunia ya kwanza.

..why not?

..kama Tz tunataka kuwa nchi ya dunia ya kwanza basi hatuna budi kuiga yale yaliyomema toka kwa nchi za dunia ya kwanza.

..nimeleta mfano huu kuonyesha jinsi John Kennedy alivyotumia nafasi yake ya Uraisi kuwatia shime wananchi wake kutekeleza malengo makubwa.

..sioni kama kiongozi wetu mkuu anapopata nafasi ya kuzungumza anaitumia kuwatia moyo na kuwahamasisha wananchi. Badala yake namuona akijigamba yeye mwenyewe, akishutumu,akitishia,..
 
Back
Top Bottom