Wana Jf
Nasubiria kwa hamu sana kusikia mh. Zitto ataongea nini hapo kesho na wandishi wa habari. Ila kwa kumsaidia ajue thinkers wote ndio wananchukua muda wa kumpima na kujua namna gani amekomaa kisiasa na ni namnagani ana vision katika safari yake ya siasa. Ningempa ushauri sana akumbuke sio unajibu hoja za kamati kuu tu, hapo yupo kwenye chumba cha mtihani kujua kweli tuna mtu mwenye nia dhabiti, msimamo wa kusimamia ndoto zake na mtu makini wa kusimamia kile anachokiamini.
Mwisho wa hutuba yake, kwangu mimi ndio kitakua kipimo changu cha mwisho kujua kama tuna kiongozi hapo in future katika taifa letu.
Nakutakia kila le heri Zitto kwa hutuba yako, ni haki yako kuongea licha ya kuwa nilitarajia kama hekima ingekuongoza ungesubiri after 14 days ulizopewa na kujua msimamo wa mwisho ni nini wa chama ndipo utoe na wewe msimamo wako ukiwa na reference za kutosha za hiyo issue.
Ni muhimu mh. Zitto kutii hisia zako na kuendelea kama ulivyopanga wanachama na watanzania kwa ujumla wasikie kutoka kwako. Issue jinsi utakavyofikisha ujumbe kwao ueleweke hiyo ndio kazi yako.