Hotuba ya Warioba Bungeni Dodoma: Jumanne, Tarehe 18 Machi 2014 na Hoja ya Muungano wa Serikali Tatu

"wakulima wana matatizo ikiwemo bei ya mazao, mfano gharama 800 kwa uzalishaji wa kilo moja na serikali inapanga bei kwa kilo tsh 600, hivy badala ya maisha bora ya na kuwa umaskini maoni ya katiba mpya" maneno a Warioba bungeni sasa
 
Warioba anasema kuwa wakati wa kukarabati hotuba yake, baadhi ya karatasi zimepotea
 
sijampenda sitan ata kidogo.niko mbali na tv kuona ni kipi kinajiri bungeni lakini sita no ovyo. nafananisha na wale makada wa miaka ya 80-90> akivurunda tu humo kwa ushabiki wa ccm< asubili rungu litakalomuangukia labda kama amepanga anamaliza kazi anaenda urambo kukaa na wakulima wa tumbaku. asitegemee kupata wadhifa mwingine
 
Anazungumzia suala la rais kupunguziwa mamlaka ya uteuzi hasa kwa watumishi wa ngazi za kati na chini.
 
UKARABATI ULIOFANYIKA KWA UPANDE WA RAIS
  1. Rais kutokuwa sehemu ya Bunge
  2. kuhoji ushindi wa Rais Mahakamani ila ni wagombea pekee ndio watakaoruhusiwa
  3. Rais amepunguziwa madaraka yamkuteua utumishi wa umma wa kazi za kati na ngazi za chini. Rais atateua mawaziri, majaji, makatibu wakuu wa wizara nk. Hata hivyo baadhi ya viongozi watateuliwa na Rais na kuthibitishwa na Bunge kama mawaziri. Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama watateuliwa na rais kwa kushauriana na baraza la usalama la taifa
 
Bunge halitakuwa na mamlaka na masuala ya Tanganyika kama ilivyo kwa masuala ya Zanzibar
 
sijampenda sitan ata kidogo.niko mbali na tv kuona ni kipi kinajiri bungeni lakini sita no ovyo. nafananisha na wale makada wa miaka ya 80-90> akivurunda tu humo kwa ushabiki wa ccm< asubili rungu litakalomuangukia labda kama amepanga anamaliza kazi anaenda urambo kukaa na wakulima wa tumbaku. asitegemee kupata wadhifa mwingine
Ugeweka hoja za msingi kusapoti andiko lako lakini naona hii siyo sawa make huna hoja ya msingi kwa hili.
 
Sitta ni kigeugeu...................na kwajinsi alivyoongea leo ni wazi kuwa anatumika kutoa maamuzi.

frog_in_a_pond.jpg
 
Spika na maibu spika wasitokane na bunge. Lengo ni kwamba wasiegemee upande wowote. Imependekezwa pia kuwa mawaziri wasiwe wabunge. Kwamba wananchi wanahitaji muda wa kutosha kukaa na wabunge wao. Pia itazuia mawaziri kurumiamwizara zao kujipendelea
 
Ukomo wa wabunge ni awamu tatu ya miaka 5. Pia wananchi wanaweza kumuondoa mbunge wao
 
Rais kapunguziwa mamlaka ya uteuzi.

Pinda anabrowse JF

Bunge la muungano halitojadili mambo yasiyo na muungano.

Spika hatokuwa mbunge.

Wabunge hawatokuwa mawaziri.

Ukomo wa ubunge ni miaka 15.
Wananchi wanaweza kumtoa mbunge wao kabla ya uchaguz
 
Hakutakuwa na uchaguzi mdogo. Kwamba ikiwa mbunge atafariki, chama kitapewa mamlaka ya kujaza nafasi hiyo
 
Maoni ya kutokuwa na uchaguzi mdogo nalo linapewa kipao mbele kwenye rasimu ya pili ya katiba.
 
Rais kapunguziwa mamlaka ya uteuzi.

Pinda anabrowse JF

Bunge la muungano halitojadili mambo yasiyo na muungano.

Spika hatokuwa mbunge.

Wabunge hawatokuwa mawaziri.

Ukomo wa ubunge ni miaka 15.
Wananchi wanaweza kumtoa mbunge wao kabla ya uchaguz
Pamoja sana mkuu
 
Back
Top Bottom