Hotuba ya Rais wa Urusi imeilenga Tanzania?

Kama Urusi wako vizuri ni kwanini wanakimbilia kuishi nchi za Ulaya na US. Hivi unajua mke wa zamani wa Putin anaishi France!. Warusi sio watu wazuri kama mnavyofikiria uliza watu walioenda kwenye world cup wenyeji wao walivyo wafanyia na kuwa nunia kama maadui. Kama ni nchi kubwa na ni kama US lini umesikia Urusi wametupa hata chanjo tu! Putin anajali pesa kwa yeye na marafiki zake tu!

Hii ni hoja mfu

Mbona wazungu wengi tu tunao wanaishi huku! Wairan, wamisry, walebanon pia tunao huku!! Hulioni hilo, au nchi zao pia masikini?

Alaf unazungumzia chanjo 😁 umesahau wamewasaidia kuwapokea na kuwatunza watanzania kwenye nchi yake!!

Eti urusi co watu wazuli, unachekesha mzee 😁
Kwahiyo wamarekani, washirika wake na waisraeli ndiyo watu wazuri??
 
hivi vikwazo havitamuumiza Russia pekee ni dunia nzima,cheza na vitu vingine lkn sio nishati ya mafuta,hapa marekani kabugi !
 
Vladmir Putin

Rais wa Russia Comrade Vladmir Putin Amesema Nchi hiyo inakwenda kuwa Nchi Imara na yenye Uchumi Mzito kuliko ilivyo Leo kinyume na Maadui zake wanavyojidanganya.

Putin aliyasema hayo Alhamis alipokuta na Baraza la Uongozi la Russia kwenye Kikao ambacho kilikuwa Live kwenye Radio na TV, na kuonyeshwa Live na TV na Radio zaidi ya 420, kwenye Mataifa Mbali mbali yenye Uhuru wa kuonyesha Habari kutoka Urusi.

"Lazima Mjuie, Tulijua kuwa watakuja na silaha hii butu, kwa sababu najua hawawezi kutupangia njia za kujilinda dhidi ya hatari tunayoiona, Nimeamua kufanya Operation ya Kijeshi kwa Serikali ya Kyiv kwa sababu za Usalama wa Russia na vizazi vyake vya kesho"...Hakuna wa kunizuia, hakuna wa kutupinga, na hata wakiweka Vikwazo mara elfu moja, bado tuna Haki ya Kusimama Kulinda usalama wetu"..Na sasa Maumivu waliyotaka kwetu yamerudi milango mwao..

"Ni Wapuuzi kabisa, na hivyo vikwazo vyao mmeona matokeo yake, Sasa Nauli za Ndege kwenda Hanoi ama Macau zimekuwa mara Mbili na zaidi, lakini kwa Vile Mataifa hayo yanaongoza Vipofu yamezuia kutolewa habari hizo, Viongozi wao wanaendelea kufanya Mzaha na kujaribu kuwafumba watu wao"...

"Nilipokea siku hiyo hiyo waliposema Russia isisafirishe Mafuta kwa Nchi za America, Ajabu siku tatu Baadae wamelalamika Bei za Mafita zimekuwa karibu mara mbili, na Mfumuko wa Bei za Bidhaa zao Hazielezeki kabisa, Ni Kichaa tu anayeweza kusema Eti Tunaumia sisi kuliko Ambaye Bidhaa zake zimepanda kwa 170.6% ..

"Kwa sasa katika Ulaya Nzima penye Unafuu wa Maisha ni Russia tu, Wengine hata Gesi Imegeuka dhahabu, hupati gesi, watawala wao wamejipiga shaka kwa kujaribu kupambana na Russia"...Rais putin alinukuliwa akisema.

"Walitaka tukubali kuhatarisha usalama wetu kisa manufaa Kiduchu ya kiuchumi, Haiwezekani, hatukubali na siku yoyote ikiwa hivyo tutajibu vikali zaidi kuliko Operation ya Ukraine "..
Hizi ni sawa na ndoto za Tz kuwa donor country.
 
Kati ya hao uliowataja na waliovamia na kuuwa watu waco na hatia katika nchi za kiislamu ni nani madiktetaz? Je, waliwahi kuwekewa vikwazo? Ukienda taifa haramu la israel anachokifanya kwa wapalestina miaka yote inajulikana na hakuwahi kuwekewa vikwazo, na hatawekewa vikwazo.[emoji1370]

Marekani na nchi za ulaya zimewapofusha macho,,ipo cku mtaujua ukweri

Nani amekudanganya urusi ni masikini?? Dah mahaba yakizidi mwisho wake unajikuta unaongea siyo [emoji16]

Ulikuwepo wakati wanalia?? Au ndio kujifuraisha mzee [emoji16] wamarekani na washirika wake wamewaharibu kwa Propaganda ndugu zanguni.
Uharamu wa taifa la israel na uhalali wa palestina unatokea wapi?
 
Vladmir Putin

Rais wa Russia Comrade Vladmir Putin Amesema Nchi hiyo inakwenda kuwa Nchi Imara na yenye Uchumi Mzito kuliko ilivyo Leo kinyume na Maadui zake wanavyojidanganya.

Putin aliyasema hayo Alhamis alipokuta na Baraza la Uongozi la Russia kwenye Kikao ambacho kilikuwa Live kwenye Radio na TV, na kuonyeshwa Live na TV na Radio zaidi ya 420, kwenye Mataifa Mbali mbali yenye Uhuru wa kuonyesha Habari kutoka Urusi.

"Lazima Mjuie, Tulijua kuwa watakuja na silaha hii butu, kwa sababu najua hawawezi kutupangia njia za kujilinda dhidi ya hatari tunayoiona, Nimeamua kufanya Operation ya Kijeshi kwa Serikali ya Kyiv kwa sababu za Usalama wa Russia na vizazi vyake vya kesho"...Hakuna wa kunizuia, hakuna wa kutupinga, na hata wakiweka Vikwazo mara elfu moja, bado tuna Haki ya Kusimama Kulinda usalama wetu"..Na sasa Maumivu waliyotaka kwetu yamerudi milango mwao..

"Ni Wapuuzi kabisa, na hivyo vikwazo vyao mmeona matokeo yake, Sasa Nauli za Ndege kwenda Hanoi ama Macau zimekuwa mara Mbili na zaidi, lakini kwa Vile Mataifa hayo yanaongoza Vipofu yamezuia kutolewa habari hizo, Viongozi wao wanaendelea kufanya Mzaha na kujaribu kuwafumba watu wao"...

"Nilipokea siku hiyo hiyo waliposema Russia isisafirishe Mafuta kwa Nchi za America, Ajabu siku tatu Baadae wamelalamika Bei za Mafita zimekuwa karibu mara mbili, na Mfumuko wa Bei za Bidhaa zao Hazielezeki kabisa, Ni Kichaa tu anayeweza kusema Eti Tunaumia sisi kuliko Ambaye Bidhaa zake zimepanda kwa 170.6% ..

"Kwa sasa katika Ulaya Nzima penye Unafuu wa Maisha ni Russia tu, Wengine hata Gesi Imegeuka dhahabu, hupati gesi, watawala wao wamejipiga shaka kwa kujaribu kupambana na Russia"...Rais putin alinukuliwa akisema.

"Walitaka tukubali kuhatarisha usalama wetu kisa manufaa Kiduchu ya kiuchumi, Haiwezekani, hatukubali na siku yoyote ikiwa hivyo tutajibu vikali zaidi kuliko Operation ya Ukraine "..
Dubu kaunguruma
 
Vita ya wanaume wenye akili hiyo....

Komredi Putin anasema "walitaka tukubali kuhatarisha usalama wetu kisa manufaa kiduchu ya uchumi...."

Ni mpumbavu na asiyejitambua tu anayeweza kusema angechagua uchumi tu na si usalama.....

HIMAYA YA URUSI HAIJAANZA KARNE MOJA ILIYOPITA
Kwa kweli kaongea maneno mazito Sana yenye logic
 
Vladmir Putin

Rais wa Russia Comrade Vladmir Putin Amesema Nchi hiyo inakwenda kuwa Nchi Imara na yenye Uchumi Mzito kuliko ilivyo Leo kinyume na Maadui zake wanavyojidanganya.

Putin aliyasema hayo Alhamis alipokuta na Baraza la Uongozi la Russia kwenye Kikao ambacho kilikuwa Live kwenye Radio na TV, na kuonyeshwa Live na TV na Radio zaidi ya 420, kwenye Mataifa Mbali mbali yenye Uhuru wa kuonyesha Habari kutoka Urusi.

"Lazima Mjuie, Tulijua kuwa watakuja na silaha hii butu, kwa sababu najua hawawezi kutupangia njia za kujilinda dhidi ya hatari tunayoiona, Nimeamua kufanya Operation ya Kijeshi kwa Serikali ya Kyiv kwa sababu za Usalama wa Russia na vizazi vyake vya kesho"...Hakuna wa kunizuia, hakuna wa kutupinga, na hata wakiweka Vikwazo mara elfu moja, bado tuna Haki ya Kusimama Kulinda usalama wetu"..Na sasa Maumivu waliyotaka kwetu yamerudi milango mwao..

"Ni Wapuuzi kabisa, na hivyo vikwazo vyao mmeona matokeo yake, Sasa Nauli za Ndege kwenda Hanoi ama Macau zimekuwa mara Mbili na zaidi, lakini kwa Vile Mataifa hayo yanaongoza Vipofu yamezuia kutolewa habari hizo, Viongozi wao wanaendelea kufanya Mzaha na kujaribu kuwafumba watu wao"...

"Nilipokea siku hiyo hiyo waliposema Russia isisafirishe Mafuta kwa Nchi za America, Ajabu siku tatu Baadae wamelalamika Bei za Mafita zimekuwa karibu mara mbili, na Mfumuko wa Bei za Bidhaa zao Hazielezeki kabisa, Ni Kichaa tu anayeweza kusema Eti Tunaumia sisi kuliko Ambaye Bidhaa zake zimepanda kwa 170.6% ..

"Kwa sasa katika Ulaya Nzima penye Unafuu wa Maisha ni Russia tu, Wengine hata Gesi Imegeuka dhahabu, hupati gesi, watawala wao wamejipiga shaka kwa kujaribu kupambana na Russia"...Rais putin alinukuliwa akisema.

"Walitaka tukubali kuhatarisha usalama wetu kisa manufaa Kiduchu ya kiuchumi, Haiwezekani, hatukubali na siku yoyote ikiwa hivyo tutajibu vikali zaidi kuliko Operation ya Ukraine "..
Putin kaishiwa nguvu.
Kaomba msaada kutoka China.
USA imeionya Beijing isithubutu kutoa support kwa Putin.
China watampiga Chini Putin na kuungana na Western.
Putin atabaki km kifaranga kilichomwagiwa maji. Watu watajipigia watakavyo.

Lesson: Don't play with big boys.
 
Ulishaona ma-diktekta wakikiri kuwa wameumizwa? Historia inaonyesha kuwa madikteta wanapopata kibano ndiyo huzidi kujitapa na kusema wako vizuri kabisa na maadui zao wataangamia wote. Anzia kwa madikteta uchwara kama kina Mugabe na Magufuli mpaka kwa kina Sadam. Wote hawa walikuwa wanawaambia wananchi wao nchi zao ziko vizuri sana na maadui zao watashindwa!
Acha upuuzi wewe Magufuli sio dikteta hata kidogo alipigania sana maslahi ya nchi na aliweka san utaifa mbele...sasaiv nchi inaliwa vibaya mno jaribu kwenda hapo bandari uone mizigo inavyopita bila ya kulipiwa kodi
 
Anajidanganya mwenyewe tu. Ugumu wa maisha ya raia wake yeye wala haumgusi.
Hebu fafanua ugumu gn wa maisha hapa moscow?, mafuta ya kula bei iko vilevile,mafuta ya petrol na deasel viko kama kawaida,gesi bei iko kama zamani, ngano,mahindi na nafaka zoote hazijapanda,je una maanisha ugumu gn wa maisha hapa moscow?,
 
Ulishaona ma-diktekta wakikiri kuwa wameumizwa? Historia inaonyesha kuwa madikteta wanapopata kibano ndiyo huzidi kujitapa na kusema wako vizuri kabisa na maadui zao wataangamia wote. Anzia kwa madikteta uchwara kama kina Mugabe na Magufuli mpaka kwa kina Sadam. Wote hawa walikuwa wanawaambia wananchi wao nchi zao ziko vizuri sana na maadui zao watashindwa!
Macho mdiliko,hebu fafanua mkuu,urusi kapata kibano gn?
 
Vladmir Putin

Rais wa Russia Comrade Vladmir Putin Amesema Nchi hiyo inakwenda kuwa Nchi Imara na yenye Uchumi Mzito kuliko ilivyo Leo kinyume na Maadui zake wanavyojidanganya.

Putin aliyasema hayo Alhamis alipokuta na Baraza la Uongozi la Russia kwenye Kikao ambacho kilikuwa Live kwenye Radio na TV, na kuonyeshwa Live na TV na Radio zaidi ya 420, kwenye Mataifa Mbali mbali yenye Uhuru wa kuonyesha Habari kutoka Urusi.

"Lazima Mjuie, Tulijua kuwa watakuja na silaha hii butu, kwa sababu najua hawawezi kutupangia njia za kujilinda dhidi ya hatari tunayoiona, Nimeamua kufanya Operation ya Kijeshi kwa Serikali ya Kyiv kwa sababu za Usalama wa Russia na vizazi vyake vya kesho"...Hakuna wa kunizuia, hakuna wa kutupinga, na hata wakiweka Vikwazo mara elfu moja, bado tuna Haki ya Kusimama Kulinda usalama wetu"..Na sasa Maumivu waliyotaka kwetu yamerudi milango mwao..

"Ni Wapuuzi kabisa, na hivyo vikwazo vyao mmeona matokeo yake, Sasa Nauli za Ndege kwenda Hanoi ama Macau zimekuwa mara Mbili na zaidi, lakini kwa Vile Mataifa hayo yanaongoza Vipofu yamezuia kutolewa habari hizo, Viongozi wao wanaendelea kufanya Mzaha na kujaribu kuwafumba watu wao"...

"Nilipokea siku hiyo hiyo waliposema Russia isisafirishe Mafuta kwa Nchi za America, Ajabu siku tatu Baadae wamelalamika Bei za Mafita zimekuwa karibu mara mbili, na Mfumuko wa Bei za Bidhaa zao Hazielezeki kabisa, Ni Kichaa tu anayeweza kusema Eti Tunaumia sisi kuliko Ambaye Bidhaa zake zimepanda kwa 170.6% ..

"Kwa sasa katika Ulaya Nzima penye Unafuu wa Maisha ni Russia tu, Wengine hata Gesi Imegeuka dhahabu, hupati gesi, watawala wao wamejipiga shaka kwa kujaribu kupambana na Russia"...Rais putin alinukuliwa akisema.

"Walitaka tukubali kuhatarisha usalama wetu kisa manufaa Kiduchu ya kiuchumi, Haiwezekani, hatukubali na siku yoyote ikiwa hivyo tutajibu vikali zaidi kuliko Operation ya Ukraine "..
Good!
 
Back
Top Bottom