Hotuba ya Rais wa Urusi imeilenga Tanzania?

Putin ni mfu anayetembea (dead man walking). Wale mabasha zake, oligarchs waliomweka kwenye utawala na wanaomlinda watamgeuka maana mali zao walizoficha Ulaya na Marekani zinapigwa vikwazo. Watampindua Putin halafu watamleta kibaraka wao mwingine awe Rais wa Russia.
 
My friend, I can assure you that will no happen.

Putin ni timu Deep State.

Russia watamaliza kazi siku chache zijazo, tutegemee vifo vingi kwa vikozi vya Ukraine.
 
Chief hangaya amesema bidhaa zitapanda sababu ya vita ya Russia
Kwa hiyo yeye anajifanya hajui kuwa bidhaa zikishapanda hata kabla ya huu mgogoro wa Ukraine na Russia!? Kweli akutakanaye hakuchagulii tusi. Hii ndio athari ya state kugharamia kila kitu cha Rais. Yeye kila kitu anakikuta mezani, hongera yake.
 
Njia pekee ya Wamgharibi kumzuia Urusi, ni kulazimisha nchi nyingine kususia bidhaa za Warusi.

Sasa ni siku chache toka Biden azuie Mafuta na Gas za warus...lkn tayari keshakimbilia Venezuela, kujaribu kuwaomba waiuzie Marekan mafuta kwa wao kuwaondolea vikwazo !!.

Ulaya inaitegemea Urusi kwa Gas karibia 40% na mafuta 18% kumbuka hapa unazungumzia Energy as a driving force in any state's economy ... Na mafuta na Gas ya Urusi ndio Bidhaa ulaya inazopata kwa Bei ya Chini kuliko ambavyo wanapata kutoka mashariki ya kati.

Urusi inaweza kuelekeza Mafuta na Gas kwa washirika wake wa Mashariki..... Wachina wako zaidi ya Bilion 1 ushee,, wahindi n.k ..

Kwa Ufupi, Wamagharibi. wamejipiga Bomu wenyewe , na kuvuruga mfumo mzima wa Uchumi wa Dunia.... URUSI ATAPOTEZA , MAREKAN WATAPOTEZA LAKINI ULAYA WATAPOTEZA ZAIDI.
Marekani atapoteza???
Uliskia lini marekani akapoteza??
Mapenzi bhana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Vladmir Putin

Rais wa Russia Comrade Vladmir Putin Amesema Nchi hiyo inakwenda kuwa Nchi Imara na yenye Uchumi Mzito kuliko ilivyo Leo kinyume na Maadui zake wanavyojidanganya.

Putin aliyasema hayo Alhamis alipokuta na Baraza la Uongozi la Russia kwenye Kikao ambacho kilikuwa Live kwenye Radio na TV, na kuonyeshwa Live na TV na Radio zaidi ya 420, kwenye Mataifa Mbali mbali yenye Uhuru wa kuonyesha Habari kutoka Urusi.

"Lazima Mjuie, Tulijua kuwa watakuja na silaha hii butu, kwa sababu najua hawawezi kutupangia njia za kujilinda dhidi ya hatari tunayoiona, Nimeamua kufanya Operation ya Kijeshi kwa Serikali ya Kyiv kwa sababu za Usalama wa Russia na vizazi vyake vya kesho"...Hakuna wa kunizuia, hakuna wa kutupinga, na hata wakiweka Vikwazo mara elfu moja, bado tuna Haki ya Kusimama Kulinda usalama wetu"..Na sasa Maumivu waliyotaka kwetu yamerudi milango mwao..

"Ni Wapuuzi kabisa, na hivyo vikwazo vyao mmeona matokeo yake, Sasa Nauli za Ndege kwenda Hanoi ama Macau zimekuwa mara Mbili na zaidi, lakini kwa Vile Mataifa hayo yanaongoza Vipofu yamezuia kutolewa habari hizo, Viongozi wao wanaendelea kufanya Mzaha na kujaribu kuwafumba watu wao"...

"Nilipokea siku hiyo hiyo waliposema Russia isisafirishe Mafuta kwa Nchi za America, Ajabu siku tatu Baadae wamelalamika Bei za Mafita zimekuwa karibu mara mbili, na Mfumuko wa Bei za Bidhaa zao Hazielezeki kabisa, Ni Kichaa tu anayeweza kusema Eti Tunaumia sisi kuliko Ambaye Bidhaa zake zimepanda kwa 170.6% ..

"Kwa sasa katika Ulaya Nzima penye Unafuu wa Maisha ni Russia tu, Wengine hata Gesi Imegeuka dhahabu, hupati gesi, watawala wao wamejipiga shaka kwa kujaribu kupambana na Russia"...Rais putin alinukuliwa akisema.

"Walitaka tukubali kuhatarisha usalama wetu kisa manufaa Kiduchu ya kiuchumi, Haiwezekani, hatukubali na siku yoyote ikiwa hivyo tutajibu vikali zaidi kuliko Operation ya Ukraine "..
Akili hizi hazitofautiani na zile za gadaff na sadam sote tunakumbuka ngonjera zao....
Na hatima zao...
 
💪💪💪💪💪💪👍👍👍👍👍
 
We jombaa, ebu tupe mahusiano ya hii khutuba na utanzania
 
Ulishaona ma-diktekta wakikiri kuwa wameumizwa? Historia inaonyesha kuwa madikteta wanapopata kibano ndiyo huzidi kujitapa na kusema wako vizuri kabisa na maadui zao wataangamia wote. Anzia kwa madikteta uchwara kama kina Mugabe na Magufuli mpaka kwa kina Sadam. Wote hawa walikuwa wanawaambia wananchi wao nchi zao ziko vizuri sana na maadui zao watashindwa!
Ni kweli hata enzi za pharaoh alipokea mapigo kibao hadi alipouwawa mwanae ndipo akawaruhusu wamisri waondoke waende zao na Musa
 
Kwahio yeye Putin anafikiri wakati wanaweka vikwazo vya mafuta na gesi walikuwa hawajui kama bei zitapanda? Muda utatuambia.
Si waweke na kwenye gesi! Russia anajua anachokifanya.

Dikteta mwenye akili ndo huvusha nchi. Mengine yote ni porojo.

Haya,kwa Sasa demokrasia tunayo, sawa, anaupiga mwingi. Li. Nchi linajiendea tu, utafikiri halina mwenyewe, kiongozi wake annagusa Mambo madogo madogo.

Stigglers kimya, SGR kimya, Barabara za mitaa kimya, mwendo kasi tunajikongoja,

Bei ya umeme balaa, machinga chaliii, Wakazi wa Ngorongoro hati hati...

Mfumko wa Bei vyakuala duh!! Tozo za vibandle, Bei za vibandle kila siku Wana badili(wizi)

Mago goya Miti Yana ibiwa, Tembo 14 juzi juzi wamewawa,. Rai wananyongwa na walinzi wa Mali zoa na wenyewe kwa mujibu wa Katiba.

Nchi ipo pabaya.

2025 tunahitaji Chuma kimoja hivi. TISS msituangushe. Walinda Mali walizo iba tuwashinde
 
Back
Top Bottom