Liwagu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 5,873
- 7,145
Huyo nikama hivi vi blog uchwara, heading kitu kingine na taarifa nikitungine.Hapo Tanzania inaingia wapi chief?
Huyo nikama hivi vi blog uchwara, heading kitu kingine na taarifa nikitungine.Hapo Tanzania inaingia wapi chief?
Hapo Tanzania inaingia wapi chief?
Akili hizi hazitofautiani na zile za gadaff na sadam sote tunakumbuka ngonjera zao....
Na hatima zao...
Kwani mbowe na Lissu ni tishio kwa naniHata dikteta Mbowe na Lisu wanajitapa wako imara huku nyuma ya pazia wanaomba msamaha kwa kupiga magoti
Ni kweli hata enzi za pharaoh alipokea mapigo kibao hadi alipouwawa mwanae ndipo akawaruhusu wamisri waondoke waende zao na Musa
Duuhh ivi wee Dunia na mambo yake, umeanza kufatilia baada ya huu mgogoro kulipuka??.Marekani atapoteza???
Uliskia lini marekani akapoteza??
Mapenzi bhana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vladmir Putin
Rais wa Russia Comrade Vladmir Putin Amesema Nchi hiyo inakwenda kuwa Nchi Imara na yenye Uchumi Mzito kuliko ilivyo Leo kinyume na Maadui zake wanavyojidanganya.
Putin aliyasema hayo Alhamis alipokuta na Baraza la Uongozi la Russia kwenye Kikao ambacho kilikuwa Live kwenye Radio na TV, na kuonyeshwa Live na TV na Radio zaidi ya 420, kwenye Mataifa Mbali mbali yenye Uhuru wa kuonyesha Habari kutoka Urusi.
"Lazima Mjuie, Tulijua kuwa watakuja na silaha hii butu, kwa sababu najua hawawezi kutupangia njia za kujilinda dhidi ya hatari tunayoiona, Nimeamua kufanya Operation ya Kijeshi kwa Serikali ya Kyiv kwa sababu za Usalama wa Russia na vizazi vyake vya kesho"...Hakuna wa kunizuia, hakuna wa kutupinga, na hata wakiweka Vikwazo mara elfu moja, bado tuna Haki ya Kusimama Kulinda usalama wetu"..Na sasa Maumivu waliyotaka kwetu yamerudi milango mwao..
"Ni Wapuuzi kabisa, na hivyo vikwazo vyao mmeona matokeo yake, Sasa Nauli za Ndege kwenda Hanoi ama Macau zimekuwa mara Mbili na zaidi, lakini kwa Vile Mataifa hayo yanaongoza Vipofu yamezuia kutolewa habari hizo, Viongozi wao wanaendelea kufanya Mzaha na kujaribu kuwafumba watu wao"...
"Nilipokea siku hiyo hiyo waliposema Russia isisafirishe Mafuta kwa Nchi za America, Ajabu siku tatu Baadae wamelalamika Bei za Mafita zimekuwa karibu mara mbili, na Mfumuko wa Bei za Bidhaa zao Hazielezeki kabisa, Ni Kichaa tu anayeweza kusema Eti Tunaumia sisi kuliko Ambaye Bidhaa zake zimepanda kwa 170.6% ..
"Kwa sasa katika Ulaya Nzima penye Unafuu wa Maisha ni Russia tu, Wengine hata Gesi Imegeuka dhahabu, hupati gesi, watawala wao wamejipiga shaka kwa kujaribu kupambana na Russia"...Rais putin alinukuliwa akisema.
"Walitaka tukubali kuhatarisha usalama wetu kisa manufaa Kiduchu ya kiuchumi, Haiwezekani, hatukubali na siku yoyote ikiwa hivyo tutajibu vikali zaidi kuliko Operation ya Ukraine "..
Subiri chaguzi zifike nchini mwao ndio kina-Macron watajua wametapeliwa na baba la utapeli marekani.Kwa Ufupi, Wamagharibi. wamejipiga Bomu wenyewe , na kuvuruga mfumo mzima wa Uchumi wa Dunia.... URUSI ATAPOTEZA , MAREKAN WATAPOTEZA LAKINI ULAYA WATAPOTEZA ZAIDI.
Zelensky kila siku anaomba bwana zake waingie vitani kumsaidia, lakini imeshindikana.Akili hizi hazitofautiani na zile za gadaff na sadam sote tunakumbuka ngonjera zao....
Na hatima zao...
Mwamba Huyo
Kiboko ya Mashoga
Urusi ina wayahudi wengi tu....Ngoja wakuckie mabeberu/mayahudi weuc watakumeza mzee 😁
😍Unaona kabisa ni Kiongozi ndio kazungumza.
Mkuu 'Macho', kujigamba siyo kwa madikteta pekee yao.Ulishaona ma-diktekta wakikiri kuwa wameumizwa? Historia inaonyesha kuwa madikteta wanapopata kibano ndiyo huzidi kujitapa na kusema wako vizuri kabisawakumba hata na maadui zao wataangamia wote. Anzia kwa madikteta uchwara kama kina Mugabe na Magufuli mpaka kwa kina Sadam. Wote hawa walikuwa wanawaambia wananchi wao nchi zao ziko vizuri sana na maadui zao watashindwa!
😍Mkuu 'Macho', kujigamba siyo kwa madikteta pekee yao.
Nashukuru tu kwamba safari hii kuna kujipiga miguuni hata hao wanaoweka vikwazo. Sioni jinsi watakavyosalimika na kuendelea kuitawala dunia kiuchumi kama walivyozoea siku zote.
Matokeo ya mapambano haya hayawezi kumwacha yeyote salama. Ni lazima pawe na mtikisiko utakaowakumba hata hao wanaoweka mitego yao kuwaadhibu wengine ili waendeleze ubabe wao wa kuendesha uchumi wa dunia wanavyotaka wao.
Ulishaona ma-diktekta wakikiri kuwa wameumizwa? Historia inaonyesha kuwa madikteta wanapopata kibano ndiyo huzidi kujitapa na kusema wako vizuri kabisa na maadui zao wataangamia wote. Anzia kwa madikteta uchwara kama kina Mugabe na Magufuli mpaka kwa kina Sadam. Wote hawa walikuwa wanawaambia wananchi wao nchi zao ziko vizuri sana na maadui zao watashindwa!
Hakuna chochote kinachohusiana na Tanzania hapo, Tanzania haijawekewa vikwazo, ipo at peace na Kila mtu
Haya ma propaganda ya huyo dikteta peleka jukwaa la international huko
Aache kupiga mayowe, ashinde Vita yake tuone atakavyofanya baada ya hapo
Marekani na nchi za ulaya zimewapofusha macho,,ipo cku mtaujua ukweriUnajidanganya mkuu wangu
Ufikiriavyo sivyo mkuu![]()
Nani amekudanganya urusi ni masikini?? Dah mahaba yakizidi mwisho wake unajikuta unaongea siyo 😁Kama una jidanganya maisha ya Urusi ni bora kuliko German… 😂 indelea kujidanganya Warusi wenyewe matajiri hawaweki pesa zao Urusi😂😂. Wana mafuta na gas na hii ni asili lakini mbona watu wao bado masikini kuliko wote EU! Ukweli ni kwamba dikteta anafisha miaka 70 anaanza ku punic inabidi wamtoe mapema aije kuchanganyikiwa na kutumia nuklia!
Ulikuwepo wakati wanalia?? Au ndio kujifuraisha mzee 😁 wamarekani na washirika wake wamewaharibu kwa Propaganda ndugu zanguni.hana lolote watu wake wanalia