Hotuba ya Rais wa Urusi imeilenga Tanzania?

Kwahio yeye Putin anafikiri wakati wanaweka vikwazo vya mafuta na gesi walikuwa hawajui kama bei zitapanda? Muda utatuambia.
Wamekurupuka vibaya sana, kama hujui.
Biden ameanza kulalamika kwa nini wamarakani wanamlaumu yeye kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta na mfumuko wa bei badala ya kumlaumu Putin! Hiyo ni dalili ya kuonyesha matokeo ya kukurupuka
 
Kati ya hao uliowataja na waliovamia na kuuwa watu waco na hatia katika nchi za kiislamu ni nani madiktetaz? Je, waliwahi kuwekewa vikwazo? Ukienda taifa haramu la israel anachokifanya kwa wapalestina miaka yote inajulikana na hakuwahi kuwekewa vikwazo, na hatawekewa vikwazo.👇🏼

Marekani na nchi za ulaya zimewapofusha macho,,ipo cku mtaujua ukweri

Nani amekudanganya urusi ni masikini?? Dah mahaba yakizidi mwisho wake unajikuta unaongea siyo 😁

Ulikuwepo wakati wanalia?? Au ndio kujifuraisha mzee 😁 wamarekani na washirika wake wamewaharibu kwa Propaganda ndugu zanguni.
kwa hiyo mmezidiwa kwa propaganda.ndio mtaweza vita.basi wako juu kila kitu.yaani unatia aibu.
 
Ulishaona ma-diktekta wakikiri kuwa wameumizwa? Historia inaonyesha kuwa madikteta wanapopata kibano ndiyo huzidi kujitapa na kusema wako vizuri kabisa na maadui zao wataangamia wote. Anzia kwa madikteta uchwara kama kina Mugabe na Magufuli mpaka kwa kina Sadam. Wote hawa walikuwa wanawaambia wananchi wao nchi zao ziko vizuri sana na maadui zao watashindwa!
Ni kweli mkuu, tena huyu wetu ndo alkuwa hovyo kabisa.
 
Daah jamaa linaunguruma kina mama wote wameufyata, bongo nasisi eti tunasema tuna Rais
 
Kati ya hao uliowataja na waliovamia na kuuwa watu waco na hatia katika nchi za kiislamu ni nani madiktetaz? Je, waliwahi kuwekewa vikwazo? Ukienda taifa haramu la israel anachokifanya kwa wapalestina miaka yote inajulikana na hakuwahi kuwekewa vikwazo, na hatawekewa vikwazo.👇🏼

Marekani na nchi za ulaya zimewapofusha macho,,ipo cku mtaujua ukweri

Nani amekudanganya urusi ni masikini?? Dah mahaba yakizidi mwisho wake unajikuta unaongea siyo 😁

Ulikuwepo wakati wanalia?? Au ndio kujifuraisha mzee 😁 wamarekani na washirika wake wamewaharibu kwa Propaganda ndugu zanguni.

Kama Urusi wako vizuri ni kwanini wanakimbilia kuishi nchi za Ulaya na US. Hivi unajua mke wa zamani wa Putin anaishi France!. Warusi sio watu wazuri kama mnavyofikiria uliza watu walioenda kwenye world cup wenyeji wao walivyo wafanyia na kuwa nunia kama maadui. Kama ni nchi kubwa na ni kama US lini umesikia Urusi wametupa hata chanjo tu! Putin anajali pesa kwa yeye na marafiki zake tu!
 
Mwanaume keshasema,
anaebisha afanya anyooshe kidole[emoji4]
IMG_20220228_154956.jpg
 
Madikteta huwa wanaongoza kwa propaganda ila wananchi wa kawaida ndio wanajua machungu ya vikwazo.
 
Putin ni mfu anayetembea (dead man walking). Wale mabasha zake, oligarchs waliomweka kwenye utawala na wanaomlinda watamgeuka maana mali zao walizoficha Ulaya na Marekani zinapigwa vikwazo. Watampindua Putin halafu watamleta kibaraka wao mwingine awe Rais wa Russia.
Mali zote za makampuni ya west yaliowekeza urusi yatabinafsishwa, hii ni pamoja na kampuni za pesps, Macdonald, coca nk. Vita ya uchumi haina mbabe, soon mtaelewa.
 
Marekani atapoteza???
Uliskia lini marekani akapoteza??
Mapenzi bhana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unacheka cheka na vi emoji vya kike, kwa taarifa yako bei ya mafuta imependa sana USA, Biden amewaambia wamarekani wamlaumi Putin na sio yeye.

Vita ya uchumi haina macho, inaumiza wananchi wasio na hatia. Sasa kama ulidhani USA ni malaika unajidanganya jamaa nao wana suffers the consequence
 
Kama Urusi wako vizuri ni kwanini wanakimbilia kuishi nchi za Ulaya na US. Hivi unajua mke wa zamani wa Putin anaishi France!. Warusi sio watu wazuri kama mnavyofikiria uliza watu walioenda kwenye world cup wenyeji wao walivyo wafanyia na kuwa nunia kama maadui. Kama ni nchi kubwa na ni kama US lini umesikia Urusi wametupa hata chanjo tu! Putin anajali pesa kwa yeye na marafiki zake tu!
anayekupa chanjo ndio mwanzilishi wa kirusi sasa urusi wakupe chanjo kwani kirusi wamekileta.
 
Vladmir Putin

Rais wa Russia Comrade Vladmir Putin Amesema Nchi hiyo inakwenda kuwa Nchi Imara na yenye Uchumi Mzito kuliko ilivyo Leo kinyume na Maadui zake wanavyojidanganya.

Putin aliyasema hayo Alhamis alipokuta na Baraza la Uongozi la Russia kwenye Kikao ambacho kilikuwa Live kwenye Radio na TV, na kuonyeshwa Live na TV na Radio zaidi ya 420, kwenye Mataifa Mbali mbali yenye Uhuru wa kuonyesha Habari kutoka Urusi.

"Lazima Mjuie, Tulijua kuwa watakuja na silaha hii butu, kwa sababu najua hawawezi kutupangia njia za kujilinda dhidi ya hatari tunayoiona, Nimeamua kufanya Operation ya Kijeshi kwa Serikali ya Kyiv kwa sababu za Usalama wa Russia na vizazi vyake vya kesho"...Hakuna wa kunizuia, hakuna wa kutupinga, na hata wakiweka Vikwazo mara elfu moja, bado tuna Haki ya Kusimama Kulinda usalama wetu"..Na sasa Maumivu waliyotaka kwetu yamerudi milango mwao..

"Ni Wapuuzi kabisa, na hivyo vikwazo vyao mmeona matokeo yake, Sasa Nauli za Ndege kwenda Hanoi ama Macau zimekuwa mara Mbili na zaidi, lakini kwa Vile Mataifa hayo yanaongoza Vipofu yamezuia kutolewa habari hizo, Viongozi wao wanaendelea kufanya Mzaha na kujaribu kuwafumba watu wao"...

"Nilipokea siku hiyo hiyo waliposema Russia isisafirishe Mafuta kwa Nchi za America, Ajabu siku tatu Baadae wamelalamika Bei za Mafita zimekuwa karibu mara mbili, na Mfumuko wa Bei za Bidhaa zao Hazielezeki kabisa, Ni Kichaa tu anayeweza kusema Eti Tunaumia sisi kuliko Ambaye Bidhaa zake zimepanda kwa 170.6% ..

"Kwa sasa katika Ulaya Nzima penye Unafuu wa Maisha ni Russia tu, Wengine hata Gesi Imegeuka dhahabu, hupati gesi, watawala wao wamejipiga shaka kwa kujaribu kupambana na Russia"...Rais putin alinukuliwa akisema.

"Walitaka tukubali kuhatarisha usalama wetu kisa manufaa Kiduchu ya kiuchumi, Haiwezekani, hatukubali na siku yoyote ikiwa hivyo tutajibu vikali zaidi kuliko Operation ya Ukraine "..
Aisee mama Tanzania alengwe na putin kwa nini
 
Huyu jamaa nae ni kiazi kitamu, mafuta yanazalishwa kwa gharama kubwa, sasa huna soko la nje izo gharama za uzalishaji zinarudije?

Tayari hakuna soko la nje ambalo linaingiza pesa nyingi kuliko soko la ndani inamaana uchumi wa makampuni ya uzalishaji utayumba, ajira kwa raia zitakuwa mashakani, soon huyu mzee ataanza kupambana na raia wake.
 
Aaah Haaaa, ugumu wa kukosa Big Mac na Coca Cola?
Naona vipaumbele vyako katika maisha ni duni sana mkuu wangu!
Big Mac na Coca Cola ni takataka gani hizo!? Zinazidi athari za kupoteza ajira!?
 
Vladmir Putin

Rais wa Russia Comrade Vladmir Putin Amesema Nchi hiyo inakwenda kuwa Nchi Imara na yenye Uchumi Mzito kuliko ilivyo Leo kinyume na Maadui zake wanavyojidanganya.

Putin aliyasema hayo Alhamis alipokuta na Baraza la Uongozi la Russia kwenye Kikao ambacho kilikuwa Live kwenye Radio na TV, na kuonyeshwa Live na TV na Radio zaidi ya 420, kwenye Mataifa Mbali mbali yenye Uhuru wa kuonyesha Habari kutoka Urusi.

"Lazima Mjuie, Tulijua kuwa watakuja na silaha hii butu, kwa sababu najua hawawezi kutupangia njia za kujilinda dhidi ya hatari tunayoiona, Nimeamua kufanya Operation ya Kijeshi kwa Serikali ya Kyiv kwa sababu za Usalama wa Russia na vizazi vyake vya kesho"...Hakuna wa kunizuia, hakuna wa kutupinga, na hata wakiweka Vikwazo mara elfu moja, bado tuna Haki ya Kusimama Kulinda usalama wetu"..Na sasa Maumivu waliyotaka kwetu yamerudi milango mwao..

"Ni Wapuuzi kabisa, na hivyo vikwazo vyao mmeona matokeo yake, Sasa Nauli za Ndege kwenda Hanoi ama Macau zimekuwa mara Mbili na zaidi, lakini kwa Vile Mataifa hayo yanaongoza Vipofu yamezuia kutolewa habari hizo, Viongozi wao wanaendelea kufanya Mzaha na kujaribu kuwafumba watu wao"...

"Nilipokea siku hiyo hiyo waliposema Russia isisafirishe Mafuta kwa Nchi za America, Ajabu siku tatu Baadae wamelalamika Bei za Mafita zimekuwa karibu mara mbili, na Mfumuko wa Bei za Bidhaa zao Hazielezeki kabisa, Ni Kichaa tu anayeweza kusema Eti Tunaumia sisi kuliko Ambaye Bidhaa zake zimepanda kwa 170.6% ..

"Kwa sasa katika Ulaya Nzima penye Unafuu wa Maisha ni Russia tu, Wengine hata Gesi Imegeuka dhahabu, hupati gesi, watawala wao wamejipiga shaka kwa kujaribu kupambana na Russia"...Rais putin alinukuliwa akisema.

"Walitaka tukubali kuhatarisha usalama wetu kisa manufaa Kiduchu ya kiuchumi, Haiwezekani, hatukubali na siku yoyote ikiwa hivyo tutajibu vikali zaidi kuliko Operation ya Ukraine "..

Huyu ndo mwanaume
 
Huyu jamaa nae ni kiazi kitamu, mafuta yanazalishwa kwa gharama kubwa, sasa huna soko la nje izo gharama za uzalishaji zinarudije?

Tayari hakuna soko la nje ambalo linaingiza pesa nyingi kuliko soko la ndani inamaana uchumi wa makampuni ya uzalishaji utayumba, ajira kwa raia zitakuwa mashakani, soon huyu mzee ataanza kupambana na raia wake.
Mrusi hawezi akakosa soko la gesi na mafuta yake......atauza kihalali na hata kwenye blackmarket hakuna wa kumzuia
 
Tumezoea misaada, tumezoea uongo, tumezoea kuwa waoga ila Mambo yote ya maana hatutaki mazoea nayo.
Kwann ??
 
Back
Top Bottom