Rugaijamu
JF-Expert Member
- Jul 10, 2010
- 2,942
- 1,294
mnh!hata mie nahisi vivyo hivyo,coz haiwezekani kiongozi mkuu wa nchi aendelee kumkumbatia Ngeleja,wakati ni dhahiri ameshindwa kazi...Kuna namna hapa!Naitamani sana siku ambayo Watz wote bila kujali itikadi za kisiasa ama kidini na kuungana pamoja kumuonesha ****** kuwa IMETOSHA,AONDOKE!Karibu kwenye maandamano ya mwezi wa nane kani ndio kipindi umeme utakuwa hakuna kabisa na ndio tutakpo mwambia JK ajiuzuru na hatuna imani na waziri mkuu that is for sure waambia ALjazeera ajiaande kuja kwenye maandamano ya Nchi nzima ni kama ya Misri Mororco syria tunis. JK nchi imeisha mshinda wana tupeleka kwenye janga. Ngereja ni Mbuzi wa kafara anamlidia JK makosa yake ya Nishati na Madini ule wakati alikuwa waziri ndio mikataba yote mibovu ilipo sainiwa na JK alikuwa shaidi ambae sasa ni Mtawala wetu