wenzetu wa West bwana wametuacha mbali sana. fikiria ka nchi kama Senegal tulikokazidi population na ukubwa wa nchi mara dufu kanatuzidi wingi wa diaspora. si aibu hii!Ndio ujue haikuwa personal, akifanya vizuri nampongeza kama hivi.

Wewe ndiye mwoga wa wazungu..Mzungu huwa habagazwi waziwazi namna hii , huyu rais kaanza kwa mihemko. Alipaswa kuwaminya kimya kimya.
Senegal haiko huru kiuchumi, bidhaa nyingi sana zinatoka kwa hao wazungu ikiwa ni pamoja na France.
Kwa hotuba hii kali dhidi ya France tayari huyu rais anaandaa anguko lake ama kifo chake. Wazungu siyo wa mchezo mchezo.
Watamtafuta kwa msosi, kwa tiba, kwa mtutu, kwa sumu, kwa kutumia marafiki zake, nguo zake, gari lake, n.k. Nina hakika hatatoboa.
Kabisawenzetu wa West bwana wametuacha mbali sana. fikiria ka nchi kama Senegal tulikokazidi population na ukubwa wa nchi mara dufu kanatuzidi wingi wa diaspora. si aibu hii!
Kwanini sasa??Umepaniki
Sera zao ziko vizuriwenzetu wa West bwana wametuacha mbali sana. fikiria ka nchi kama Senegal tulikokazidi population na ukubwa wa nchi mara dufu kanatuzidi wingi wa diaspora. si aibu hii!
Ndio maana wamempa kura.Wanaamini wa vitendoHotuba ni maneno tu Wasenegal wanataka vitendo
Acha tuoneNdio maana wamempa kura.Wanaamini wa vitendo
HakikaHotuba ni maneno tu Wasenegal wanataka vitendo
wAkati nikiangalia na kusikiliza hii hotuba kilichonijia kichwani ndio ulichoandika hapa. Anatakiwa kuwa makini sana.Mzungu huwa habagazwi waziwazi namna hii , huyu rais kaanza kwa mihemko. Alipaswa kuwaminya kimya kimya.
Senegal haiko huru kiuchumi, bidhaa nyingi sana zinatoka kwa hao wazungu ikiwa ni pamoja na France.
Kwa hotuba hii kali dhidi ya France tayari huyu rais anaandaa anguko lake ama kifo chake. Wazungu siyo wa mchezo mchezo.
Watamtafuta kwa msosi, kwa tiba, kwa mtutu, kwa sumu, kwa kutumia marafiki zake, nguo zake, gari lake, n.k. Nina hakika hatatoboa.
Ni kweli mkuu. Wazungu wanakera, lkn style ya kuwaondoa haipaswi kuwa ya wazi na kejeli namna hii. Maana wameshikilia mifumo yote ya dunia, huyu Faye atawakwepaje?wAkati nikiangalia na kusikiliza hii hotuba kilichonijia kichwani ndio ulichoandika hapa. Anatakiwa kuwa makini sana.
Kuna comment moja ulisema tayari unaona kufeli kwake kabla hata hajaanza uongozi if I am not mistaken...!Safi sana, hii ndio Afrika mpya.
Umefuatilia hiyo link YouTube?Hiyo ni speech ya jamaa mwanaharakati wa Chad tokea mwaka jana inatembea kwenye media wala siyo Rais wa Senegali...wadau mnashindwa kuona ni sura mbili tofauti.