- Thread starter
- #41
Yule wa Burkina Faso kiboko yaani aiseeHakika amesitahili,wamuunge mkono kwa dhati.
Nadhani kajaa kale ka Burkina Faso kanaelekea kupata mwana wa kupiga naye 5.
Yule wa Burkina Faso kiboko yaani aiseeHakika amesitahili,wamuunge mkono kwa dhati.
Nadhani kajaa kale ka Burkina Faso kanaelekea kupata mwana wa kupiga naye 5.
Mbona jambo la kawaida kabisa kutambua kuwa Rais Mteule wa Senegalese anaongea Kifaransa na pia Hanoi ndevu zote, kuna mambo ya kawaida sana unaweza kutayambua hatua ya mwanzo kabisa.Umefuatilia hiyo link YouTube?
Ebu tuwekee hiyo uliyoiona tujiridhishe.