Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,028
- 59,657
mbona huyu anaikimbia kamera?????
Oya...Candid Scope leo umenikwaza! Tupo tuliokuwa hai hiyo miaka ya 70 unayoisema hapa na hatukuwa washamba kiivyo. Armstrong tulimwona akishuka kuukanyaga mwezi, ikiwa ni mara ya kwanza binadamu kukanyaga pale? Ilikuwa ni kwa sinema za kitambaa cheupe kwenye gari za Factual Film badala ya cNN lakini si tuliona? Careful with your words Candid Scope... ha ha ha ha
Kila sentensi anataja neno "amani"Mbona kama ana shawishi kutokufanya maandamano na mikutano!
Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums.
Mbona kama ana shawishi kutokufanya maandamano na mikutano!
Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums.
Polisi nao
wanastahili kutendewa haki,tusiwe chanzo cha vurugu,tusiwaongoze wafuasi
wetu kufanya fujo