Hotuba ya Rais Kikwete 30.6.2012


tatizo unafikiri kwa kutumia matakle.
 

Kwa mtazamo wako Madaktari wako sahihi kufanya mgomo kazini na kusababisha mauaji kwa wagonjwa wasio na hatia kinyume cha kiapo chao cha utendaji wa taaluma yao? Kama hawaridhiki na serikali kutowalipa hizo 7,000,000, kwa nini wasiamua kuacha na kwenda kule wanaokoona watalipwa haki hizo stahiki.

Suala la majeruhi Dr. Stephen liko katika uchunguzi na ni mapema mno kutoa hitimisho kwani taratibu za uchunguzi huwa haziruhusu kutoa hukumu wakati utafiti unaendelea kama ilivyo kwa kesi za mahakamani.
 

Hawawezi kulizungumzia hilo kwa sababu wameridhika na hali ya kutisha ya hospitali zetu ya wagonjwa kulala chini, kitanda kimoja kupewa wagonjwa hadi saba walalie kitanda kimoja, chumba cha wajawazito ambacho kinastahili kuwa na wajawazito wawili hadi wanne kurundikwa wajawazito hadi 25 au 30 kama magunia ya mkaa.

Wenyewe wanatibiwa nje hivyo hawaoni sababu yoyote ile ya muhimu katika kuboresha hospitali zetu ili ziwe katika hadhi ambayo inastahili. Kikwete DHAIFU na Serikali yake ni DHAIFU haistahili kuwepo madarakani.


 
Amekiri kuwa huwa wanaua.. Lakn kwa Dr. Ulimbuka hawakuwa na sbb ya kufanya hvyo.
 
Nyie pimbi wa cdm hamuwezi kukosa la kusema lakini juweni kuwa huyo ndio rais wetu na ametoa maelezo mazuri kabisa, na bilas shaka hata nyie mioyoni mwenu mnakubaliana nae. Tuombe mungu 2015 ccm awekwe rais kama huyu.

Ukisoma between the lines unagundua kuwa madakatari wamesikilizwa na wameshinda kabisa kwa 60% ya madai yao yametekelezwa..

Utagundua pia kuwa JK amekuwa akiboresha maslahi ya sector ya afya na madaktari kupita rais yeyote Tanzania (angalia mishahara yao)...

Kwanini wanaendelea kugoma??? wamevimbishwa na watu fulani, kiburi na ujinga, au???
 
JK ni rais mwenye upeo mdogo sana wa kuchambua mambo ndo maana hawezi kuongea mambo yenye mantiki kwenye matatizo mazito kama haya ....
 

Kama Rais wako anavyojaribu kutoa focus kwenye madai ya msingi ya Madaktari ndivyo nawe unavyojaribu kuyumbisha mada sasa mimi nakueleza huo uchunguzi wenu hauna tija yoyote wala hautai exonerate Serikali ya Kikwete na tuhuma hizi the writing is on the wall busara ni kujiandaa kwa lolote
 
Reactions: BAK
Kuna mtu anaweza kusema kwanini Spika hakuweka/amekataa kuweka hadharani ile report ya Kamati ya bunge inayohusika na huduma za jamii? Kamati hii iliongea na pande zote mbili yaani Serikali na madaktari na walitembelea hospitali ya Muhimbili kujionea hali halisi. Spika na mjumbe wa CC ya CCM akaona ni yake na wapambe wake (kwa siri).

Hapa tunasoma madai ya upande mmoja, lakini mgogoro huu una pande mbili na huitaji kuwa akili za marehemu Steve Jobs kujua namna bora ya kutatua hili tatizo ni kwa 'third party' yaani kamati ya bunge ya huduma za jamii kuweka mambo waliyogundua toka pande zote mbili.

Pia ningeshauri Team magogoni hasa wale wanaoandaa speech za Mh Rais wajitahidi sana kuzi-critique kabla ya kutoa kwenye vyombo vya habari, vinginevyo inaleta tafsiri tofauti. Hotuba ya rais inaonesha udhaifu wa miaka mingi kwenye mambo ya wazamiaji haramu. Mfano rais anaonekana kukiri kuwa tatizo la wavamizi haramu ni la miaka mingi (10 yrs+), sasa kwa akili za kawaida, kama kwa miaka kumi na zaidi serikali ya ccm imeshindwa kudhibiti hilo tatizo badala yake linazidi kuwa kubwa, kwa nini watu waendelee kuiamini CCM kuwa ina uwezo wa kulinda mipaka ya nchi?
 

Kujiandaa na lolote kama lipi kwa mfano? funguka..
 

Zamani miaka ya nyuma walikuwa wanapita siku hizi wanafika Tanzania lakini hawapiti kabisa..

Hizo ndizo juhudi zilizofanyika na serikali ya ccm, chini ya kamanda makini JK..
 

 
Reactions: FJM
Unajua uungwana unatuzidi sana, siku moja tutajikuta na Police nao wanagoma. Labda kweli tufanye jaribio, Police wagome masaa 24 tu tuone kitakachotokea.
Jamani ee, sheria ni sheria tu. Inafahamika kwamba Dr. haruhusiwi kugoma, full stop. Wamegoma - wamejifukuza, BASI. Kwa heri.
Unaona maajabu ya Mungu? Kaongoza migomo, kajikuta anahitaji huduma ya waliogoma.
 
Kikwete ahsante sana.

Sasa ondokeni mkafanye kazi zenu za private au mrudi kazini, uamuzi ni wenu, na huko mahospitali tutaanza kuwawekea tathmini ya kujuwa ni nani anaefanya kazi na anastahili kulipwa na nani asiyefanya. Mnalo?

Kwanini imechukua muda mrefu kufikia uamuzi huo? Hili suala siamini kabisa lingefika hapa lilipofika kama kila mtu angekuwa genuine. Ila ndo hivyo tena. By the way, kumbe hata rais anasikitika na kuumizwa kwa Dr. Uli ingawa sio mfanyakazi wa serikali?
 
 

Umemaliza!
 
Hii habari sasa imekuwa ni ya kisiasa zaidi; ikiwa kama serikali imechukua hatua zote hizo siamini kama palikuwa na shinikizo la kugoma; Dr. Namala aje atueleze nini hasa kilichoshinikiza mgomo na akanushe maelezo ya mh. Raisi Kikwete; bado sijaelewa ni kwa nini madaktari walikataa kuendelea na majadiliano; naona ni vyema Raisi angeongoza majadiliano; mh. Pinda kazi hii haiwezi. Rai rudini kazini endeleeni na majadiliano. Au ndio zile ahadi tukichukua nchi mfuko wa saruji utakuwa................

Chama
Gongo la Mboto DSM
 

Betty, you easily despare, labda hata hujiamini wewe mwenyewe! Maisha lazima yasonge mbele, lazima kwenda nayo, may be ni vyema kuyaongoza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…