Jackbauer
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 6,068
- 2,225
Kikwete ahsante sana.
Sasa ondokeni mkafanye kazi zenu za private au mrudi kazini, uamuzi ni wenu, na huko mahospitali tutaanza kuwawekea tathmini ya kujuwa ni nani anaefanya kazi na anastahili kulipwa na nani asiyefanya. Mnalo?
zomba huishi vituko!hivi madaktari wakitaka kulipwa kwa kila mgonjwa anayemuhudumia mtaweza?usitafute makubwa !