Njoka Ereguu
JF-Expert Member
- Apr 7, 2012
- 821
- 336
Kama vile vya kuchoma makanisa huko kenya kupitia ile shule yenu ya al-ShababMkikosa hoja mnaanza viroja.
Anyone did this, he is damn right, if I were at Pande I would have separated his head from him body, innocent civilians are dying or suffering. If he declared death sentence to poor Tanzanians, why should he live anyway. After all Docs kwenye hospital za serikai siku hizi wasanii sana, hata uwalipe 6m they will never change their attitude. Tanzania yatatoka wapi mazingira bora wakati kila sector imeoza? serikalini yenyewe haina vichwa, wahuni wengi.
At least DRs are ignating the start button to look for solutions, it is unfortunate that most of us are still waiting for the miracles from heaven and probably you too. And so, we are not suppose to be on either way.Anyone did this, he is damn right, if I were at Pande I would have separated his head from him body, innocent civilians are dying or suffering. If he declared death sentence to poor Tanzanians, why should he live anyway. After all Docs kwenye hospital za serikai siku hizi wasanii sana, hata uwalipe 6m they will never change their attitude. Tanzania yatatoka wapi mazingira bora wakati kila sector imeoza? serikalini yenyewe haina vichwa, wahuni wengi.
Sijui hii amehutubia saa ngapi. Ila ninaona kuwa hotuba hii ingewekwa 'live' na kuwekewa 'hotline' ili wananchi waweze kumuuliza maswali.
At least DRs are ignating the start button to look for solutions, it is unfortunate that most of us are still waiting for the miracles from heaven and probably you too. And so, we are not suppose to be on either way.
Maswali????? yeye mwenyewe anajua kuwa wananchi wana maswali mengi kuliko uwezo wake wa kujibu
Udaktari ni wito zaidi ya fani. Waliosomea udaktari wanalijua vyema jambo hili. Isitoshe walikula kiapo cha kufanya kazi kwa mshahara waliokubaliana na mwajiri wao. Kwanini leo waanze kuleta longolongo zao?. Kama ni wivu wa kuona wabunge wanalipwa mishahara mikubwa basi na wao wakawe wabunge hakuna haja ya kuiumiza kichwa serikali. Ninakubaliana na maamuzi ya Raisi Kikwete kwa 100% asiyekubali mshahara na malupulupu yaliyopo basi aondoke haraka sana bila kuchelewa. Serikali haitashindwa kupata madaktari wengine.
huu ni udhaifu, nilizoea hotuba za kutoka mafichoni kuziona kwa GADAFI NA OSAMA,kwa kuwa walikuwa ktk hali tete, sasa na hapa bwana mkubwa katufanya tukeshe kusubiri live kumbe naye yaleyale ...Huna hoja.
Waliyokubaliana kayasema na ambayo serikali imekataa na hayo kayasema waziwazi na ambayo hawajakubaliana kayasema waziwazi na kasema asiyeyataka hayo ambayo serikali imeyakataa aache mwenyewe kazi. Nini zaidi usichokielewa?
Kama huna hoja kaa kimya kama wenzako.
hakuna haja ya kung'ang'nia kuajiriwa na mwajiri ambaye hana uwezo wa kukulipa[/QUOTE
kinyume chake ni ' serikali haina haja ya kung'ang'ania kubaki madarakAni kama hAIna uwezo wa kumudu ghalama za kuendesha serikali, kwa nini isumbuke kila siku kua.dika barua za kumtaka daktari ajieleze, kutoa hotuba mafichoni , kukimbilia mahakamani na kutesa ulimboka. ni bora ikaachia wenye uwezo wa kufanya hivyo.
Japokuwa mashabiki wa mgomo hawatayapenda Mawazo yako Lakini umefikiria some miles ahead of themKama kweli serikali imehusika hata kama Rais asingeliongelea bado ukweli unabaki pale pale kuwa serikali haitakaa ikubali kuwa imehusika.
Unajua kwa namna moja au nyingine upo uwezekano kuwa askari wanaotajwa wamefanya hicho kitendo kwa ufisadi wao wa kifikra kwa kuwa walikabidhiwa jukumu la kufuatilia mwenendo wa mgomo, kwa kuwa kazi hiyo ilikuwa inawanyima muda wao wa kufanya kazi nyingine kwa kuitwa kila mara kuelezea kinachoendelea waliona ni jambo la busara sasa kutumia ufinyu wao wa kufikiria (kwa maana hapo ndipo akili yao ilipofikia ukomo) wakaona ni bora kumuua Dr. Ulimboka.
Kwa mazingira hayo upo uwezekano Mkubwa kabisa kuwa viongozi waliowapa kazi ya kufuatilia mwenendo wa mgomo wa Madaktari kushindwa kuamini kama askari hao wangeweza kutenda unyama huo.
Tatizo lingine linalojitokeza hapa ambalo halijatolewa ufafanuzi ni kwamba katika maelezo ya Dkt Ulimboka, anaeleza kuwa walienda leaders na Dkt. Mwezake na hata wakati anatekwa walikuwa na Dkt. Mwenzake ambapo watekaji walisema hawana shinda na mtu mwingine ila yeye tu Dkt. Ulimboka, iweje huyo Dakt. waliyekuwa naye anashindwa kuelezea kilichotokea na wakati walikuwa na Ulimboka muda wote? na kwa nini alichukua muda mwingi bila kumfuatilia mwenzake? katika hali ya kawaida uko na rafiki yako au jamaa unaona amekamatwa ni busara tu kuwa angefuatilia kujua anapelekwa kituo gani cha polisi na hivyo angesaidia kupatikana kwa taarifa mapema kuliko alivyojinyamazia. Upo uwezekano wa kuwa na mashaka na huyo Dakt. katika hili.
wewe ndiyo mpuuzi,utafanyaje majadiliano na mtu ambaye hataki kuja mezani kukaa nawe? Serikali imewaita na kuwabembeleza sana hawataki,mahakama nayo imewaita na pia ikatoa amri wasitishe mgomo hawataki,wewe ulitaka serikali ifanyekje mbona unailaumu serikali bure si vizuri acha unafiki mbona unaegemea upande mmoja kulaumu serikali tu kwa nini usiwalaumu na madaktari wadai madai yao kwa busara na wala si kwa njia ya mgomo manake ndugu zetu wanakufa roho zao hazitarudi mgomo ukiisha,bila shaka wewe utakuwa mfuasi wa chadema manake nyie chadema inasemekana ndiyo washawishi wakubwa wa fujo,maandamano na migomo yote hapa nchini wenyewe nmnafurahia ili serikali ya CCM ionekane imeshindwa kutatua kero na matatizo yanayowakabiri watanzania!
Japokuwa mashabiki wa mgomo hawatayapenda Mawazo yako Lakini umefikiria some miles ahead of them