Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,503
- 113,614
- Thread starter
-
- #81
Mkuu FMEs, ni kweli ndio maana nimebold 'kwa mujibu wa katiba', hiyo katiba siyo Masahafu.- Mkuu vipi hapo kweli pamekaa sawa? Mbona habari za ground zero zinasema tofauti? kwa jinsi anavyohaha!
Respect
FMEs!
Mwaka 2010 kuna uchaguzi wa Rais wa JMT. Hivi Wazanzibari (wapiga kura) kule mathalan waharibu kura zao na huyo JK awe amechaguliwa kwa kura nyingi lakini ni za upande huu wa pili (Tanganyika tu) atakwenda kukalia hicho kiti huko UN.Uwe unasoma vizuri posts kuna mtu kasema Zanzibar haipo Zanzibar ipo kama ninavyoweza kusema Mbeya ipo, mimi nimesema hakuna kitu kinachoitwa NCHI YA ZANZIBAR mna jeshi nyie mtaitwaje nchi hata UN hamtambuliki hamna kiti kule JK anakiti chake lakini Karume hana labda akasimame, ukweli ndo huo.
Mwaka 2010 kuna uchaguzi wa Rais wa JMT. Hivi Wazanzibari (wapiga kura) kule mathalan waharibu kura zao na huyo JK awe amechaguliwa kwa kura nyingi lakini ni za upande huu wa pili (Tanganyika tu) atakwenda kukalia hicho kiti huko UN.
Mwaka 2010 kuna uchaguzi wa Rais wa JMT. Hivi Wazanzibari (wapiga kura) kule mathalan waharibu kura zao na huyo JK awe amechaguliwa kwa kura nyingi lakini ni za upande huu wa pili (Tanganyika tu) atakwenda kukalia hicho kiti huko UN.
Mwaka 2010 kuna uchaguzi wa Rais wa JMT. Hivi Wazanzibari (wapiga kura) kule mathalan waharibu kura zao na huyo JK awe amechaguliwa kwa kura nyingi lakini ni za upande huu wa pili (Tanganyika tu) atakwenda kukalia hicho kiti huko UN.
Kwani Zanzibar mko wangapi? na waliompigia kura Kikwete ni wangapi? hawafiki hata laki mbili sawa na idadi ya wapiga kula wa wilaya tu ya Shinyanga vijijini tunahitaji kura zenu ili mujione ni part ya watanzania msibaki wapweke kura za bara zinamtosha ati.
Katoa rai tu...! Ni jukumu la baraza la wawakilishi wananchi na wanachama wa vya vyote kuridhia ushauri huo, ili kuweza kubadili katiba kwa manufaa ya maridhiano.Sisi huku Zanzibar hatuna uchaguzi safari hii, Maalim Seif keshasema kama uchaguzi ufanyike baada ya miaka 2 ijayo...period!
Nyie mrudisheni tuu huyo JK apate kufanya ufisadi na muzidi kufa mafukara
Katoa rai tu...! Ni jukumu la baraza la wawakilishi wananchi na wanachama wa vya vyote kuridhia ushauri huo, ili kuweza kubadili katiba kwa manufaa ya maridhiano.
Usijaribu kupindisha ukweli hapa....
Kitumbua gani au kireja gani... (ta'dabu)! Umeshasema huyo ni msimamo wa CUF, awali ulitoa kauli tofauti na hiyo kwamba hakuna uchaguzi. Kumbuka kuwa Maalimu kapendekeza kuongezwa kwa muda, aidha kazi hiyo itafanywa na vyombo husika, na ni baada ya kuridhika kama kuna umuhimu huo.Huo ndio msimamo wa CUF kuwa uchaguzi upelekwe mbele, na iko wazi kabisa uchaguzi kwa kusimamiwa na katiba zilizopo ni kuleta vurugu tuu visiwani humo.
Kwenda kwenye uchaguzi na ZEC iliopo sasa, kutafuta mvutano mwengine.Ni jambo la busara hilo kuepuka huo uchaguzi, na kurekebisha hizo katiba.
Au unasemaje mkuu?Au huu umoja wanao hubiri hawa viumbe wawili, unatia kitumbua chako mchanga?
Sisi huku Zanzibar hatuna uchaguzi safari hii, Maalim Seif keshasema kama uchaguzi ufanyike baada ya miaka 2 ijayo...period!
Nyie mrudisheni tuu huyo JK apate kufanya ufisadi na muzidi kufa mafukara
Eti umemaliza darasa la saba?
[Kwani Zanzibar mko wangapi? na waliompigia kura Kikwete ni wangapi? hawafiki hata laki mbili sawa na idadi ya wapiga kula wa wilaya tu ya Shinyanga vijijini tunahitaji kura zenu ili mujione ni part ya watanzania msibaki wapweke kura za bara zinamtosha ati.]quote]
sawa mkuu nime-edit unajua sisi watu wa Mara hatuna tofati ya l na r lakini natumaini ujumbe wangu ulifika
Kitumbua gani au kireja gani... (ta'dabu)! Umeshasema huyo ni msimamo wa CUF, awali ulitoa kauli tofauti na hiyo kwamba hakuna uchaguzi. Kumbuka kuwa Maalimu kapendekeza kuongezwa kwa muda, aidha kazi hiyo itafanywa na vyombo husika, na ni baada ya kuridhika kama kuna umuhimu huo.
Sasa unapokuja hapa na kupotosha ukweli ni kwa faida ya nani hasa? Au wewe ndio wale vidudu mtu anaowazungumzia Maalim?
Hebu soma hapaP:S
**Have fun....by the way, the original post had some humor in it when I said there is no election in Zanzibar according to Seif.
Naelewa mwenyewe juzi katika hotuba yake ya kilele cha sherehe za Mapinduzi amesema kwamba anakamilisha kipindi chake na Katiba ya Zanzibar hairuhusu kipindi cha tatu. Nakubaliana naye na sipendekezi kuondolewa kwa ukomo wa vipindi viwili kwa mtu anayeshikilia madaraka ya Urais wa Zanzibar . Ila namuomba sana akubaliane na matakwa ya Wazanzibari walio wengi kama yalivyokwisha oneshwa kupitia taarifa na kauli mbali mbali kwamba kipindi chake cha pili tukiongeze muda kidogo ili tusiipoteze fursa ya kihistoria ambayo ameianzisha yeye.
Natoa wito kwa wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wa pande zote mbili, Serikali na Upinzani, kulitafakari hili na kutupa Wazanzibari kile tunachokitaka.
Kwenye issue muhimu usipende kuweka dhihaka mbele! Zanzibar sasa ipo katika hatua moja kubwa mno, ambayo haitaji watu aina yako.