Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,283
- 4,556
Sioni kama alichofanya ni kibaya kwani ametatua matatizo ya kimsingi katika kuwawezesha wananchi wake kujiendeleza. Ametatua ya dharura (chakula cha msaada) na ya long-term (elimu, maji na afya). Kilichopo ni wananchi wamsaidie kutunza visima vya maji na watumie fursa hiyo kuwapeleka watoto wao kwenye shule hizo za upili. Naamini baadaye familia kadhaa zitanufaika na long-term investment ya Mheshimiwa huyu. Labda kwa nyongeza aibane serikali ktk huduma ambazo anaona hawezi ku-walk alone.
Kiongozi kumbe watokea Singida! Teh teh teh teh Ukija mjini njoo na wale kuku wa kienyeji (Kuchi)