Hotuba ya Mhe Moh Dewji: April 25, 2009

Hotuba ya Mhe Moh Dewji: April 25, 2009

mie huwa ninachukia kweli ninapoona watu tunadanganywa, haki ya mungu ndio maana siwapendi c.c.m na vibaraka wake coz ni waongo cku zote, mie nipo jimboni hapa na nimeisoma hiyo report cjui walokuwa wanaisikiliza wanatumia masaburi? Kwanza nionyeshe maeneo yenye uongo kwenye report hiyo, kwanza amesema amejenga shule ya sekondari majengo, sgd nzima hakuna shule ya secondari majengo ni uongo, kutoa msaada wa chakula ni kweli alifanya hivyo lkn kwa kila kaya kupewa kg 5 zingewaponesha vp na njaa? Na bado sio kila kaya iliyoweza kupata zaid ya watendaji na mabalozi wa c.c.m kujinufaisha, hivyo visima alivyochimba sio kweli coz hakuna mwaka ambao sgd kulikuwa na nafuu ya maji kuthibitisha hili nendeni kwenye facebook yangu kwenye pics mkaone picha moja nimepiga foleni ya maji na ni kati kati ya mji muone, halafu leo anasema amesaidia maji kivp?
 
Nilikuwa napitia ripoti ya maendeleo ya jimbo la Singida nikaanza kujiuliza kuhusu COST BENEFIT ANALYSIS inakuwaje unapokuwa mbunge wa Tanzania...halafu returns za pesa zako zinarudi vipi katika haya mazingira ya kumulikana na kutafutana uchawi kila kukicha?

Huyu jamaa toka awe mbunge ameshaspend pesa zake za mfukoni BILIONI 6 kwa ajili ya jimbo lake

sasa najiuliza je kuna mbunge kama huyu? Na kama kaweza kutumia zaidi ya Bilioni 6 kutoka mfukoni mwake, kwa nini hajawa waziri huyu?

Kwa sababu shule anayo

pesa anayo na hatotumia magari ya serikali

sidhani kama posho atakuwa anchukua

Je Rostam alikumia kias gani kwenye jimbo lake Igunga?

Je wana Singida mnaweza kutuazima sisi wana Rufiji huyo Mo Dewji walau kwa miezi 3 tuu kisha mumshukue

Yaah hii ni njia nzuri ya kuwasaidia wapiga kura wako. Hata kwa kuwatafutia wafadhili kama bwana mdogo Nyalandu inatosha.
Nimrad Mkono pia amefanya makubwa kwenye jimbo lake.
Mmh ningeenda kusikia kinara wa Kuchangia makanisa bwana EL amefaanya nini kwenye jimbo lake.
 
kuhusu hilo suala la t.v cable ni kweli amefunga mitambo, lkn cha kushangaza ni gharama za ulipaji ni kubwa kuliko hata za watu binafsi, kwa mfano: kuunganisha na cable ya dewji ni mpaka sh 45 elfu, wakati kuna msomali anaitwa feisal ni sh 30 elfu, na malipo yake kila mwezi ni sh 5000 ambapo ni sawa na watu binafsi, sasa huu ni sawa na kufanya biashara zaidi kuliko kusaidia. Kwenye tractor la kilimo kwa ajili ya shule za manispaa huu nao ni kushindwa kufikiri, hakuna hata shule moja za manispaa zenye shamba sasa unawaletea tractor walime kwenye lami? Na ndio maana limekosa kazi kama alivyosema mwenyewe. Kuhusu tank la shule ya dr. Salmin jamani hata milioni moja hv haiwezi kufika, na meng 2 ambayo nimeshindwa kuyaeleza coz natumia cm. Wana sgd 2015 hatudanganyiki. Lazima tuwang'oe, tumewachoka.
 
Nilikuwa napitia ripoti ya maendeleo ya jimbo la Singida nikaanza kujiuliza kuhusu COST BENEFIT ANALYSIS inakuwaje unapokuwa mbunge wa Tanzania...halafu returns za pesa zako zinarudi vipi katika haya mazingira ya kumulikana na kutafutana uchawi kila kukicha?

Huyu jamaa toka awe mbunge ameshaspend pesa zake za mfukoni BILIONI 6 kwa ajili ya jimbo lake

sasa najiuliza je kuna mbunge kama huyu? Na kama kaweza kutumia zaidi ya Bilioni 6 kutoka mfukoni mwake, kwa nini hajawa waziri huyu?

Kwa sababu shule anayo

pesa anayo na hatotumia magari ya serikali

sidhani kama posho atakuwa anchukua

Je Rostam alikumia kias gani kwenye jimbo lake Igunga?

Je wana Singida mnaweza kutuazima sisi wana Rufiji huyo Mo Dewji walau kwa miezi 3 tuu kisha mumshukue

"Inside his constituency, the MP is expected to carry out the normal duties of meeting and talking to constituents regularly...But again there have developed certain unscheduled expectations of treating their MP as a provider of financial assistance. This can and has created problems for those MPs who are unable to respond adequately to such expectations.

For as the old adage goes, ‘members of parliament are men and women of high rank, [but] they have nothing in the bank!'" – Pius Msekwa, Former Speaker of the National Assembly of the Tanzania Parliament.
 
Tatizo lipo sehemu moja tu......nilifika igunga kwenye uchaguzi ule mdogo......Inasikitisha kwani wananchi wengi sehemu ile Shida Yao kubwa Ni maji.....rostam alikuwa anajinadi eti igunga Ni half london.....4real Inasikitisha kwani wananchi wanashea maji na mifugo.
 
Hiyo ndio half London ya Igunga?
34ru07m.jpg
 
Nilikuwa napitia ripoti ya maendeleo ya jimbo la Singida nikaanza kujiuliza kuhusu COST BENEFIT ANALYSIS inakuwaje unapokuwa mbunge wa Tanzania...halafu returns za pesa zako zinarudi vipi katika haya mazingira ya kumulikana na kutafutana uchawi kila kukicha?

Huyu jamaa toka awe mbunge ameshaspend pesa zake za mfukoni BILIONI 6 kwa ajili ya jimbo lake

sasa najiuliza je kuna mbunge kama huyu? Na kama kaweza kutumia zaidi ya Bilioni 6 kutoka mfukoni mwake, kwa nini hajawa waziri huyu?

Kwa sababu shule anayo

pesa anayo na hatotumia magari ya serikali

sidhani kama posho atakuwa anchukua

Je Rostam alikumia kias gani kwenye jimbo lake Igunga?

Je wana Singida mnaweza kutuazima sisi wana Rufiji huyo Mo Dewji walau kwa miezi 3 tuu kisha mumshukue

katumiaje?? umeenda jimboni na kuona hizo bilioni sita zilipomwagwa??
 
Jamani ndugu zangu msichanganye mambo! Kazi ya Mbunge si kuchangia miradi ya maendeleo bali ni kuwawakilisha wananchi na kuzisimamia kero zao zitatuliwe na serikali yao maana serikali uwezo inao sema tu haina mtu wa kuisimamia.
 
hawa ndiyo wa kuulizwa hela wanapata wapi? serikali inahaha kukopa wao wanajiimarisha majimboni - sasa kama katoa 6b, ina maana nazina yake si anaweza kutununua tz wote!!!

6 billion huyu lazima ni mfanyabiashara mkubwa maana hicho kiasi ni kikubwa mno - sasa kwa nini anachanganya biashara na siasa? wakati chama chake hakiruhusu? Nape please note down hawa watu wa kuanza nao kuwafanyia kazi.
 
Mimi nina matatizo na wabunge wanaomwaga pesa tu kwenye majimbo yao. Hii inawafanya wananchi wadumae kimawazo na kuendelea kuwapigia kura maana wanajua watafanyiwa! lakini watu wakichemsha bongo na nguvu zao na kuunganishiwa mitaji ndipo maendeleo ya kweli na ya kudumu yatakapowatembelea. je tunaweza kupata breakdown ya hizo 6.Bn na picha za miradi iliyofunguliwa au kuwekezwa.???
 
Mo ametumia Bilion 6, je pesa zote ambazo serikali inatenga kwa ajili ya manispaa ya Singida ziko wapi?

Kama anajidai kuwa kila kitu kajenga yeye, madarasa kajenga yeye, zahanati kajenga yeye, nguo katoa yeye, viatu kagawa yeye (Ujinga uliovumiliwa na watu wa TAKUKURU, USALAMA WA TAIFA), hata wakati wa uchaguzi na baada ya Uchaguzi.

Je yeye amesamehewa kodi mara ngapi kwa kuingiza biashara zake anazosema ndio msaada wa watu wa Singida, je amepata misaada mingapi kwa wafadhili wa kimarekani kwa ajili ya Singda.

Hata akaunti ya Singida United timu anayojidai anaifadhili Signatori ni ndugu yake na ili waweze kupata pesa ni mpaka kwa idhini yake huku Dar.

Ametumia hizo zote ili apate nini? Awaeleze watanzania
 
"Africa doesn't need
strongmen, it needs
strong institutions" - Barack Obama

Watu wanaosifia vitendo vya wabunge wa aina ya Dewji ama hawakusikia ama hawakuelewa hii kauli ya Obama.
 
Back
Top Bottom