Hotuba ya Mbowe imedhihirisha wazi kuwa hakuna tofauti ya wafuasi wa Magufuli na Mbowe

Hata uwe na mapenzi ya namna gani lakini kwa huu umwamba aliokuwa akiufanya magufuli haihitaji nguvu za ziada kujua kwamba alikuwa dikteta
Watu hawajui, Samia kuna siku chadema na wapinzani watamliza kwa kutumia JPM. Na kama ccm haitakuwa makini sasa mwaka 2025 upinzani utachukua nchi kupitia kwa mgongo wa JPM. Hakuna kama Nyerere na JPM nchi hii hadi sasa
 
Mama anawajua hila zao.
Waliposusa Bunge la katiba .
Ana wa enjoy tu
Yaani kwa ule muelekeo wa bunge la Katiba Chadema kususa unashangaa?

Kutoka kuondoa rasimu ya Warioba na kuweka rasimu ya Chenge bado unashangaa?

Kutoka kumbadilisha spika Sitta na kumuweka Chenge bado unashangaa?

Yaani hukuiona kabisa nia ovu ya CCM kutaka kuhodhi lile bunge?

Utakuwa na uelewa mdogo sana wa masuala ya siasa zetu tofauti na nilivyokudhania.
 
Siutoe na ya kwako?
 
Hata uwe na mapenzi ya namna gani lakini kwa huu umwamba aliokuwa akiufanya magufuli haihitaji nguvu za ziada kujua kwamba alikuwa dikteta
Hata nyumbani kwenu kama mkuu wa kaya (awe Baba au mama) siyo dikteta kaya haiendi ndipo unakutana na mashoga, wadangaji katika famili nk
 
Wewe ndio unajiona una fikira huru wewe?!
 
Sina maana mtu asimsifie mtu mwingine. Ila hiki kinchofanyika ni kutukuzana na kuabudiana.

MATAGA wanamwita Magu: Jiwe, Chuma, Jemedari, Shujaa etc

CHADEMA wnamwita Mbowe: Kamanda, Mwamba, etc

What's the diffrerence ?
 
Watu hawajui, Samia kuna siku chadema na wapinzani watamliza kwa kutumia JPM. Na kama ccm haitakuwa makini sasa mwaka 2025 upinzani utachukua nchi kupitia kwa mgongo wa JPM. Hakuna kama Nyerere na JPM nchi hii hadi sasa
Acha kumfananisha nyerere
 
Mbowe aliuwa watu? Alitesa watu? Alipora heka za watu kinguvu? Mtoa mada huna fact kaa kimya.
Hajapata madaraka hayo. Hata Magufuli kabla ya Urais hakuwahi kuua watu hivyo

Ila kwa madaraka madogo tu aliyonayo ya chama, Mbowe ameumiza watu wengi sana,na wengine mpaka leo wanauguza maumivu.
 
Sina maana mtu asimsifie mtu mwingine. Ila hiki kinchofanyika ni kutukuzana na kuabudiana.

MATAGA wanamwita Magu: Jiwe, Chuma, Jemedari, Shujaa etc

CHADEMA wnamwita Mbowe: Kamanda, Mwamba, etc

What's the diffrerence ?
Kumbe unaumizwa roho na majina tu, nikadhani una hoja ya kimantiki, anyway kwangu bora mwamba kuliko huyo alieitwa "yesu".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…