Yaani sasa hivi CHADEMA kama chama naona akili zote wamemkabidhi Kigogo, yaani wamejisahau kabisa. Utafikiri Kigogo ndio mwenyekiti wa chama.
Anayemshabikia magufuli ni kwasababu ya ujinga tu.Watu hawajui, Samia kuna siku chadema na wapinzani watamliza kwa kutumia JPM. Na kama ccm haitakuwa makini sasa mwaka 2025 upinzani utachukua nchi kupitia kwa mgongo wa JPM. Hakuna kama Nyerere na JPM nchi hii hadi sasa
Mwache mama ashindwe ku perform ndo atajua maana ya upinzani na chadema Kwa ujumla ilimradi washasema mapema alikuwa mchapakazi.Watu hawajui, Samia kuna siku chadema na wapinzani watamliza kwa kutumia JPM. Na kama ccm haitakuwa makini sasa mwaka 2025 upinzani utachukua nchi kupitia kwa mgongo wa JPM. Hakuna kama Nyerere na JPM nchi hii hadi sasa
Hashim Rungwe hastahili kupendwa? Maana ni kama umeongea kwa kejeli kwa mzee.wako wanaompenda Hashim Rungwe kufa kuoza
Yaani mioyo yetu ina mahaba
Yaani sasa hivi CHADEMA kama chama naona akili zote wamemkabidhi Kigogo, yaani wamejisahau kabisa. Utafikiri Kigogo ndio mwenyekiti wa chama.
No wonder Lissu alisema tena kwenye international podium kuwa yule bodyguard mweusi wa Magu kafariki kwasababu aliambiwa na kigogo 🙂
Huyu Kigogo alimpobda kikakimilifu Mbowe wakati anagombea uenyekiti awamu ya 4 mpaka wafuasi wa CHADEMA wakaanza kumshambulia mpaka kwenye magazeti.
Hao kina Yericko Nyerere majasusi wa chama walisema account ya kigogo inaendeshwa na Zitto na watu wengine, jumla 4.
SIASA ZA KITAA: Kigogo wa ‘Twita’ na Mange ni Sunche na Kapeto
Inakera sana. Kuna mambo yanajirudia kila wakati mpaka yanachosha. Unapokaribia uchaguzi ndani ya Chadema kuna maneno kuhusu Mbowe lazima uyasikie – Mbowe anajilipa ruzuku yote. Kateka mali zote...www.mwananchi.co.tz
Leo, Kigogo ndio trendsetter wa agenda za CHADEMA😂😂😂
Dunia hii, kuwa uyaone.
Ahahahahaha na ubwabwa wakewako wanaompenda Hashim Rungwe kufa kuoza
Yaani mioyo yetu ina mahaba
Umenikumbusha ujinga wa CCM mwaka Jana, yaani eti Hashim Rungwe aliwatisha na ubwabwa wake hadi akafungiwa kugawa ubwabwa.wako wanaompenda Hashim Rungwe kufa kuoza
Yaani mioyo yetu ina mahaba
Kwahiyo unataka wakushabikie we we? Hitler na Osama wanamashabiki hadi leo sembuse Magufuli?Anayemshabikia magufuli ni kwasababu ya ujinga tu.
Wanaowashabikia Hitler au magufuli ni mazezeta.Kwahiyo unataka wakushabikie we we? Hitler na Osama wanamashabiki hadi leo sembuse Magufuli?
Alivyokua akiwahadaa, wanyonge wake..Ukiona mtu yupo juu ya gari anahutubia na anakula mahindi jua huyo ni tapeli
Sasa ulitaka afakimie Faru John aanguke kwenye ngazi kama MboweUkiona mtu yupo juu ya gari anahutubia na anakula mahindi jua huyo ni tapeli