Hotuba ya leo sidhani kama Balozi Polepole bado mzima

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
19,226
Reaction score
68,242
Hotuba ya leo kutoka kwa manyota, kwa namna alivyokiri kuua waandamanaji, nachelea kusema kuwa Balozi Polepole sidhani kama yuhai huko anakoshikiliwa na mamlaka.

Nahisi amepitia maumivu makali sana kuelekea kwenye kifo chake.

Nimeumia…
 
Huyu Mama nadhani Kanali Komandoo Augustino Polepole atamalizana nae.
 
Hotuba ya leo kutoka kwa manyota, kwa namna alivyokiri kuua waandamanaji, nachelea kusema kuwa Balozi Polepole sidhani kama yuhai huko anakoshikiliwa na mamlaka.

Nahisi amepitia maumivu makali sana kuelekea kwenye kifo chake.

Nimeumia…
Ni kweli. Nadhani maiti yake ima iko msonga kama siyo kizimikazi au hata baharini ikiliwa na fish.
 
Hotuba ya leo kutoka kwa manyota, kwa namna alivyokiri kuua waandamanaji, nachelea kusema kuwa Balozi Polepole sidhani kama yuhai huko anakoshikiliwa na mamlaka.

Nahisi amepitia maumivu makali sana kuelekea kwenye kifo chake.

Nimeumia…
Polepole ana faida akiwa ardhini kuliko juu yake
By the way hajarudi toka Cuba
 
Back
Top Bottom