Kweli watu hatuna shukurani!Mkapa behind these moves..ufisadi mtupu
Hivi ni John Pembe au Pombe. Pombe si kileo, hata kwa wenzetu waliotutangulia sijawahi kusikia mtu Mr. Beer au Mr. Alcohol au Mr. Wine japo wapo akina Winehouse. Pombe hatari halafu ndo jina la mtu ama kweli ccm kuna mambo. Halafu kuna mwingine anaitwa Membe, Membe kwetu ni fisi ni jina la dhihaka kwa watu walafi
Mida ya saa 6 mchana leo magufuri alifika igunga. Ulikuwa msafara wa magari 29 yakiserikari na wakandarasi. Mkutano ulikuwa wa serikari maana bendera ya taifa ilikuwapo ktk kiwanja hiki cha sokoine. Nasema hivyo kwani neno ccm oyeee! ndio lilikuwa likitamkwa mara nyingi sana.sasa zamu ya Magufuri ikawadia nae akaanza hivi.
Magufuri: Ndugu zangu wanaigunga ninawashukru kwa mapokezi na washukuru na kuwapongeza kwa
uchaguzi umekwisha na sasa kutekeleza kazi kwa wanaigunga
Maendeleo hayana chama. Likitengenezwa daraja la mbutu, watu wote watapita. chadema, ccm cuf, udp watapita ktk daraja hilo hata fisi nao watapita ucku. Leo nimepita nikitokea tabora nilikuwa nina kikao na makandarasi wa tabora. Tabora kwa sasa kuna makandarasi 6 wanaojenga barabara za tabora.
Wakati nilipokuja mkumnadi Dr kafumu niliwaahidi kuwa nitajenga daraja la mbutu, manonga, na barabara ya igurubi. Fedha kwa ajili la daraja la mbutu zipo ila ujenzi wake utatumia muda
Tulitangaza tenda ajili ya daraja hili, 24/8/2011katika magazeti yote ya kiswahi na 25/8/2011katika magazeti ya kiingereza ilikusudi na wakandarari wa nje waje ili tupate mkandarasi mzuri. mpaka sasa tumepata makandarasi 11.
Nawaomba ndugu zangu tuache itikadi zetu za uchadema na ucc kwani kampeni zimekwisha sasa ni utelekezaji ilani ya ccm.
Nawaomba ndugu zangu pindi ujenzi ukianza msiwaibie wakandarasi mafuta, na vifaa vya ujenzi kwani daraja ni letu watanzania
Nawaomba wanaigunga mshilikiane na mbuge wenu dr kafumu atakaye apishwa. Na diwani wa chadema naomba ushilikiane na mbunge wa ccm. Mwelezenu shida zenu dr kafumu.
Ninawaomba mliokuwa mnagombea ubunge kazi sio ubunge tu. Wengine mnatakiwa muende mkasimamie ujenzi wa daraja ili mpate ajira.
Leo hii nimekuja na wakandarasi wote ili nikawakabidhi site. Na kwa yeyote anayebisha basi baada ya mkutano twende nae akaone huko huko. Asante sana
Ndo maana tunasema ccm imechoka!!mtu anatimiza wajibu wake,wengine wanampongeza utadhani kafanya something extraordinary!anapoanza kuwapeleka makandarasi majukwaani si ndo kuleta siasa kwenye mambo ya utalaamu?na kejeli za kwamba waliokuwa wanagombea ubunge wakaombe kazi huko si dharau hiyo?by the way
Pombe Hafai Kuwa Hata Katibu Kata Kwani ni Muhasherati Kupindukia.
Kaimbe mchakamchaka, ndo mlichobaki nacho,hovyo sana ,Magufuli uwe makini maana tayari upo mtegoni naona kana kwamba wewe ndo mbunge wa Igunga
Kuna mwanaume wa kitanzania asie Muhasherati?Pombe Hafai Kuwa Hata Katibu Kata Kwani ni Muhasherati Kupindukia.
Umenigusa mkuu na nimekusoma kwa herufi kubwa sana .Sisemi lolote nangojea ujenzi uaanze .[/QUOTE
Akili za wadeki barabara bwana ,jukwaa hawawezi wamebaki comedy tu,
Nakumbuka wakati The Gamba alipojiuzulu, kuna watu fulani waionekana kwenye vyombo vya habari wakilia machozi (tena watu wazima kabisa) wakionyesha masikitiko yao kuwa huyu bwana amejiuzulu wakati wao wangali wakimpenda. Mimi ambaye nipo mbali na Igunga nilidhani huyu bwana alikuwa amewaletea maendeleo sana, kilichonistaajabisha ni kwamba kumbe bado kuna matatizo mengi yanayowakabili wanaigunga. Na kikubwa zaidi daraja ambalo halijajengwa tangu uhuru, leo hii linaweza kujengwa hata bila yeye kuwapo. Hawa jamaa wa Igunga some times nashindwa kuwaamini.
Kuna mwanaume wa kitanzania asie Muhasherati?
ukute yeye anasemsema mwenzake uasherati yeye na mahawala zaidi ya 10Kazi waliyonayo ni kwa akili zao ni kudeki barabara basi,jukwaa limewashinda,
Kanjinyee kama lowasa lowasa kana kiarusi hakijamtoa kafara na nyeti zake,alikuwa anatembea na meri nagu,acha zako, lowasa yeye make wake nani anampa mambo maana imeoza akili adi chini ya nyeti zake,