mcfm40
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 4,452
- 3,152
Ugonjwa upi mkuu? Ule wa kuanguka?.....
Naam jk alianguka ghafla wakati akijiandaa kwa hotuba. Taarifa zinadai hiyo ilitokana na uchovu wa safari na kazi nyingi. Anawafikiria sana wtz. Ila afya yake inaendelea vizuri leo anaweza kusoma hotuba jioni.