Bramo
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 13,230
- 10,201
Sasa Ma CCM yanategeana...
Looks like JK yuko dillema kwenye mswada uliopoitishwa kinazi na wabunge wake.
Now tayari anajua nini msimamo wa Warioba na at the sametime kuna Mijitu ndani ya CCM inamshinikiza kuusaini Muswada.
Hii inaitwa Personal Conflict...
Lets see.