kuna uzi ulipita hapa jana kueleza kuwa jk leo atalihutubia taifa kwa mwenye kujua kinachoendelea atujuze
Wako studio na Mzee yusuph,pamoja na Khadija Kopa wanafanya editing,nasikia mipasho ilikosewa!!!!!
Kaingia mitini, mambo
mengi, washauri wake wanamgeuza geuza hajui aseme nini? Namuonea huruma
Jk
Bawacha sounds.Kaingia mitini, mambo mengi, washauri wake wanamgeuza geuza hajui aseme nini? Namuonea huruma Jk
Jk hawezi kuongelea swala la rasimu siyo jukumu lake bali ni la tume swala la mswada ni swala la bungeni nalo siyo lake yeye amesaini mswada tangu jana nyie mnapiga porojo.Hizo page mbili tatu zinamtoa jasho. Je rasimu ya katiba si itakuwa kasheshe. Ata sign bila kusoma halafu utawasikia wapambe wake wanasema ameshauriwa vibaya. Wanasahau ni yeye huyu huyu aliyesema za mbayuwayu changanya na zako
Kweli jk ni kipenzi cha watu unaona jinsi gani watu wengi wanavyosubiri hotuba yake.
Wewe bavicha umevurugwa sana si bure.Wako studio na Mzee yusuph,pamoja na Khadija Kopa wanafanya editing,nasikia mipasho ilikosewa!!!!!
Kumbuka leo alikuwa pwani kwenye kazi za kiserikali pengine kachelewa kurudi au kachoka ni budi apumzike.Ni kweli mkuu,Nashangaa Kipenzi cha watu hatokei...!
Kaingia mitini, mambo mengi, washauri wake wanamgeuza geuza hajui aseme nini? Namuonea huruma Jk
Wewe bavicha umevurugwa sana si bure.
Jk hawezi kuongelea swala la rasimu siyo jukumu lake bali ni la tume swala la mswada ni swala la bungeni nalo siyo lake yeye amesaini mswada tangu jana nyie mnapiga porojo.
Kumbuka leo alikuwa pwani kwenye kazi za kiserikali pengine kachelewa kurudi au kachoka ni budi apumzike.
mamutu munajua kulopoka yaani raiss aigie mitini. ndoto nene kweli hii