R.I.P EL COMANDATE HUGO RAFAEL CHAVEZ FRI'AS . ..Mpigania haki wa Kweli aliyekataa kua kibaraka wa wazungu katika uchumi na katika siasa ....wafuasi wa ACCACIA na vibaraka wao..nazan somo la Chavez limewaingia ...oneni dream ya Natural Resources za Venezuela ambazo Hugo alianza kuzpgania 1990's na kwa miaka Mingi akawa kimbilio la Latin America countries including Cuba ambao walkua na vikwazo vya wamarekani mpaka USA walipokuja kumpoison CHAVEZ Lakini ameacha rasilimali chini ya wa Venezuela si wazungu. ..JPM anavyowaambia vita ya Uchumi ni Ngumu muelewe....kuna watu kwa jinsi wasivyo wazalendo kwa nchi wangezaliwa nchi kama China sijui ingekuaje