simba wa mara
JF-Expert Member
- May 21, 2015
- 377
- 59
lowasa
Tatizo nyota Dk Slaa kipenzi cha wa n Lowasa na n bora kubakwa na mtu moja kuliko rundo la watu
WATANZANIA WENGI TUMESHAAMUA KUWA HATUTAMCHAGUA LOWASSA KUWA RAIS NA AMIRI JESHI MKUU WA JMT, porojo tunawaachia wapumbavu.
Kama hutaki kasage chupa, changanya na maji kisha kunywa, ni dawa!!
Sasa huyu bwana kama anajua ana wafuasi mbona hajaonyesha dira wapi wafuasi wake waende? HANA!
WATANZANIA WENGI TUMESHAAMUA KUWA HATUTAMCHAGUA LOWASSA KUWA RAIS NA AMIRI JESHI MKUU WA JMT, porojo tunawaachia wapumbavu.
Kama hutaki kasage chupa, changanya na maji kisha kunywa, ni dawa!!
WATANZANIA WENGI TUMESHAAMUA KUWA HATUTAMCHAGUA LOWASSA KUWA RAIS NA AMIRI JESHI MKUU WA JMT, porojo tunawaachia wapumbavu.
Kama hutaki kasage chupa, changanya na maji kisha kunywa, ni dawa!!
unaudhi sana we jamaa. najua wewe ni ccm kindakindaki lakini umehamia chadema kwa sababu ya lowasa. najua pia wewe ni miongoni mwa wafaidika wa mabilioni aliyoyagawa lowasa. kama kweli wewe ni mzalendo lazima uitazame kwanza tanzania kabla ya personal interest. leo hii kikinuka humu sio hizo milions ulizogawiwa na lowasa huu umasikini wangu nilionao utakao kuwa na nafasi. wote tutakuwa kwenye tafrani isiyo kifani. siamini hizo hela alizogawa lowasa ametoa sadaka. huyo anaenda kuzirudisha akiwa ikulu. mimi ni mpinzani lakini siwezi kuchukua risk kubwa kiasi hiki kwa ajili ya taifa hili. nimeichoka ccm yako lakini bado sijaichoka tanzania. jitafakari.
Lowassa ni fisadi wa moyoni, kichwani, na nafsini
![]()
Baada ya Mkutano wa Serena Hotel, UKAWA Washindwa kumjibu Dr. Slaa zaidi ya kutoa majibu kupitia Tundu Lusi ambayo yameonyesha udhaifu mkubwa sana katika Umoja huo.
Kuna hoja kadhaa ambazo bado UKAWA pamoja na Mgombea wao Edward Lowassa wameshindwa kuzijibu na kubakisha maswali mengi kwa wantanzania wenye fikra na wafikiriaji.
BAADHI YA HOJA ZA DR. SLAA:
1. Askofu Gwajima akasema Lowassa anaungwa mkono na Kanisa la Kilutheri Tanzania, na amehonga maaskofu Katoliki 30 kati ya 34, kati ya Shilingi milioni 60 mpaka 300.
2. Ukitoa uchafu wa chooni kuuweka sebulenu, patanuka zaidi.
3. Lowassa ni fisadi wa moyoni, kichwani, na nafsini. Sijui kama akili yake iko sawa nafikiri anahitaji kupimwa.
Hizi ni baadhi ya hoja ambazo Lowassa na Ukawa/ Chadema wameshindwa kuzijibu kwa ufasaha zaidi ya kutoa mipasho ya kumtukana na kumdharirisha Dr. Slaa.
![]()
WATANZANIA WENGI TUMESHAAMUA KUWA HATUTAMCHAGUA LOWASSA KUWA RAIS NA AMIRI JESHI MKUU WA JMT, porojo tunawaachia wapumbavu.
Kama hutaki kasage chupa, changanya na maji kisha kunywa, ni dawa!!