vunjajungu
JF-Expert Member
- Nov 25, 2011
- 576
- 240
mm pia sijatetereka
Watanzania wanataka kumsikia Lowasa mwenyewe akikanusha tuhuma zote zinazokukabili kwani yeye anagombea nafasi ya urais wa watanzania wote hivyo sio vizuri kumsemea kufanya hivyo ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu.
The answer is not addressing the issues raised my Dr. Slaa, in contrast, pointing them as unfrivolous.
wanajamvi habar zenu. dr. slaa nimemshangaa sana hapa nimeongea na mtu aliyekuwa kiongoz wa kijiji cha manyata ambapo wakati huo alikuwa madarakani na aliniambia sumaye alifuata taratibu zote akapewa eneo akalima kwa muda wa miaka miwili akairudisha kwa wananchi na mpaka leo eneo hilo ni mashamba ya watu. je dr. ana maana gani kujenga hoja kwa kutumia uwongo? kuna shida gani hapo wanajamvi kama amefuata taratibu na akarudisha kwa raia na ilikuwa haitumiki. kwa ukweli ndio huo. nawasilisha.
Khaa!! Wewe ni Sumaye??wanajamvi habar zenu. dr. slaa nimemshangaa sana hapa nimeongea na mtu aliyekuwa kiongoz wa kijiji cha manyata ambapo wakati huo alikuwa madarakani na aliniambia sumaye alifuata taratibu zote akapewa eneo akalima kwa muda wa miaka miwili akairudisha kwa wananchi na mpaka leo eneo hilo ni mashamba ya watu. je dr. ana maana gani kujenga hoja kwa kutumia uwongo? kuna shida gani hapo wanajamvi kama amefuata taratibu na akarudisha kwa raia na ilikuwa haitumiki. kwa ukweli ndio huo. nawasilisha.
mimi kwa niaba ya watanzania wachache wenye mawazo kama yangu tufanyaje ?
Sisi tulitaka tubadilishe mfumo,tulitaka mabadaliko,ambayo yameshindikana kwa miaka 54,sasa leo mkituambia mtu wetu hafai tena wakati kama huu,mna tuacha njia panda..tulicho ambiwa jana ni kwamba tunae mtaka hafai,sasa tukimtoa hatuwezi pata fursa ya kumuweka mnae mtaka nyie,yani towaongezee miaka 5,wenu ampite tu bila kupingwa...je huo utakuwa uzalendo ?
Khaa!! Eti hoja kama hizi zinaletwa kwa maGT. Aibu kubwa hii :glasses-nerdy:"..Nilikua nashindia mihogo... hata nyumba nayoishi nimejengewa na Mwenyekiti.."
Calculation,
1. Mihogo 250/= × 2 x 3 = 1500/= per day, (tamka "buku jero")
2. 1500/= × 365 days = 547,500/= a year. TOTAL 547,500/=
Press Conference,
1. TV (live coverage) 25 mil × 3hrs × 3Chanels = 225 mil.
2. Radio (Live coverage) 2 mil x 3 hrs × 10 = 60 mil.
3. Newspapers 5 mili (Lampsum).
TOTAL 290 Mil [tamka "milioni mia mbili na tisini"]
Huyo ndiye mtu aliyekuwa akishindia mihogo. Unashindia mihogo ya buku jero kwa siku, then unachoma almost 300 Mil. in three hours, na unapata ujasiri wa kuwaita wenzio Mafisadi. Duuuh