Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,104
- 26,070
Wewe mwenye akili umehangaika nini kumquote mjinga?
Hiyo hotuba unadhani uliangalia/kusikiliza wewe na mkeo tu chumbani kwenu?
Nenda basi ukanywe chai na huyo Slaa, pia umpe salamu kuwa hajabadili chochote zaidi katutia hasira ya kupigania mabadiliko.
Hao walitegemea tutayumbishwa na kauli za Dr lakini ndio kwanza wamempiga teke chura!Tarehe 24 nalala kituoni niwe wa kwanza kupiga kura!