Miongoni mwa hotuba kali niliyoisoma "Nyaraka za Taifa" ni ya Mheshimiwa Kiongozi Kinjekitile Ngwao, wakati anawajenga jamaa kupigana Vita vya Maji Maji. Ni hotuba fupi, iliyokuwa na hamasa, ushawishi, ujasiri na muelekeo.
Kahinda,
..ijulikane basi ni hotuba ni zipi Mwalimu aliandika mwenyewe na zipi aliandaliwa na wasaidizi wake. pia ijulikane wasaidizi hao ni kina nani.
..kwanini masuala kama haya yanakuwa ni siri? kuna ubaya au aibu gani kuwatunza watu kama hao hadharani?
..ninachopigania mimi ni historia yetu na michango ya wananchi mbalimbali kuwekwa wazi.

jokaKuu,
Nadhani hotuba nyingi ambazo Mwalimu alizitoa UN zilichangiwa sana na Wizara ya mambo ya nje. Nakumbuka mwaka 1977 alipokuja state visit hapa US maafisa wa ubalozi wetu UN walimletea data ambazo aliziingiza katika hotuba alizotoa Washington na San Francisco. Lakini most of the writing alifanya mwenyewe.
Napata hisia kwamba mwalimu aliandika hotuba zake mwenyewe. Maana ukizisoma, unakuta kuna muelekeo kati ya lugha yake, uchaguzi wa maneno, na hata tabia yake ya maongezi.
Ila ambacho sijui ni kama alidraft hizo barua from scratch! Ama alikuwa anapewa mapendekezo ya nini iwe aganda katika maongezi yake, na baaday kushirikisha wataalamu kumpa data!
It will be interesting to know his writing style! weather it was collective or individualistic! and what does it mean
jokaKuu,
Unfortunately staffers wengi waliofanya kazi na Mwalimu hawajapata msukumo wa kuandika memoirs, akiwemo Mkapa na Butiku.
Hapana,kwahiyo unaweza sema Butiku na Mkapa waliandika hotuba za mwalimu?
Napata hisia kwamba mwalimu aliandika hotuba zake mwenyewe. Maana ukizisoma, unakuta kuna muelekeo kati ya lugha yake, uchaguzi wa maneno, na hata tabia yake ya maongezi.
Ila ambacho sijui ni kama alidraft hizo barua from scratch! Ama alikuwa anapewa mapendekezo ya nini iwe aganda katika maongezi yake, na baaday kushirikisha wataalamu kumpa data!
It will be interesting to know his writing style! weather it was collective or individualistic! and what does it mean
Of course.. I have it!
Vibaya hivyo! Tuonyeshana bwana
hahaha unataka nivunje mwiko?
CCM Haina dira wala muelekeo - Horace Kolimba.
Vunja mwiko. Mimi niliisikiliza RTD wakati huo. Niwekee kwenye CD tafadhali.hahaha wenyewe hawakutaka muione (nadhani kwa maagizo ya Nyerere).. unataka nivunje mwiko?
Vunja mwiko. Mimi niliisikiliza RTD wakati huo. Niwekee kwenye CD tafadhali.
Hii haikuwa hotuba, ilikuwa ni paragaraph mbili kwenye gazeti kutoka na majibu ya maswali mawili aliyokuwa ameulizwa na waandishi wa habari, kwa hiyo huwezi kuiiona hotuba wala watu wanosema walisikia Kolimba akihutubi CCM haina Dira. Alihojiwa mtazamo wake juu ya CCM akasema kwa kifupi sana, nakumbuka zilikuwa paragraph mbili tu kwenye gazetiCCM Haina dira wala muelekeo - Horace Kolimba.
Hii haikuwa hotuba, ilikuwa ni paragaraph mbili kwenye gazeti kutoka na majibu ya maswali mawili aliyokuwa ameulizwa na waandishi wa habari, kwa hiyo huwezi kuiiona hotuba wala watu wanosema walisikia Kolimba akihutubi CCM haina Dira. Alihojiwa mtazamo wake juu ya CCM akasema kwa kifupi sana, nakumbuka zilikuwa paragraph mbili tu kwenye gazeti