Hotuba Maarufu Za Kisiasa

Hotuba Maarufu Za Kisiasa

Kuna dalili ya kuhoji uwezo wa Nyerere kutunga na kudeliver hotuba zake. Viongozi wote duniani hasa wa kisiasa wana watu wanawaandikia hotuba rasmi. Kipimo cha uwezo wa kuhutubia siyo katika kudeliver hotuba iliyoandikwa rasmi bali uwezo wa kujenga hoja na kuhutubia papo kwa papo.

Nyerere alikuwa na uwezo kama Obama wa kusoma hotuba nzuri na kuideliver vizui ile aliyoandikiwa. Unlike Obama though, Nyerere alikuwa na uwezo wa kuzungumza off the cuff bila matatizo yoyote (rejea mikutano yake mingi na waandishi wa habari the most famous one I'll argue pale Kilimanjaro Hotel).

Lakini kuna hotuba moja ambayo naamini ni Watanzania wachache wamewahi kuisoma na kwa hakika labda ni wachache kabisa wamewahi kuisikia. Ni hotuba ambayo wengi wanakumbuka tukio na kilichotokea lakini hawakumbuki mwalimu alisema nini. NI hotuba aliyoitoa wakati vijana wa Chuo Kikuu wameandamana hadi Ikulu kudai kulazimishwa kwenda JKT. Ilikuwa ni off the cuff na hotuba hiyo haikuchapwa kwenye vitabu vya Uhuru na Umoja na Binadamu na Maendeleo kwani Nyerere alitumia cuss words!

Of course.. I have it!

Mkuu mwanakijiji tuwekee hiyo.
 
Nina kitabu cha Nyerere kinaitwa Nyerere of Tanzania kimeandikwa na William Edgett Smith, lakini bado nahitaji DVD za hotuba zake nitazipataje?
 
Back
Top Bottom