Hotuba iliyoleta mapinduzi Gabon

Hutuba ya maana kabisa hakika ukiisoma haina tofauti na hapa kwetu ,hapa tunaombwa et tudumishe amani ili hali wezi wakiineemeka
 
Wwmeambiwa viongozi waliowaibia wananchi hela waziridishe kwa hiari la sivyo wakikamatwa nazo watanyongwa hadharani

Sijui wakorudisha wao wajeda.watazipeleka wapi
Africa ina vituko
 
Nchi hiyo makampuni yote ya maana yako chini ya Wafaransa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…