Hotuba fupi ya Kitwete yamuumbua Magu na Kinana: Ukata ndio umesababisha mabadiliko yaliyofanywa CCM

Dankbar

Member
Jul 11, 2015
98
113

Ikikumbukwe wakati anamkabidhi mwenyekiti Magu, Kikwete aliitaja changamoto kubwa inayokikabili chama kuwa ni wanachama kutolipa ada.
Leo katika hotuba yake ameonekana kushangazwa na sababu walizotoa Mwenyekiti na Katibu wake Kinana na kuiacha sababu kubwa na ya msingi wa mabadiliko waliyopendekeza . Ndiyo maana mwanzo amesema "wamekuwa wastaarabu kidogo" !! wameacha sababu ya msingi ya Ukata katika chama.
Suluhisho walilochukua la kukabili tatizo hili na kujificha nyuma eti kuleta ufanisi, limeonekana kumkera Kikwete.
Badala ya kutafuta mbinu ya kuwashawishi wanachama kulipa Ada, wameamua kuwapiga panga wajumbe ili wabaki wachache watakaoweza kulipana posho. Badala ya kutafuta vyanzo vya mapato ili kuweza kugharimia mikutano wameamua kupunguza mikutano na kusema eti wanalenga ufanisi.
Mbinu hii inaonekana kutumiwa Sana na mtawala huyu katika utawala wake: tujiuliza ni wafanyakazi wangapi walikuwa hewa wameondolewa na wangapi walioajiriwa ili hewa isiwe hewa bali wafanyakazi halali.
 
Tuangalie mwisho wa Magufuli..

Asijue CCM ya wapiga dili ndo inayokifanya chama kuwa hapo hadi leo?

Kama anajiamini hiyo CCM anayoitengeneza itampa ushindi bila kutegemea Tume ya Uchaguzi na Polisi anajidanganya.

CCM ya masikini haiendi popote labda bajeti ya nchi igharamie ile mikutano yao ya kufuru..
 
Hizi sababu za kulipana posho ni sababu mfirisi tu. Nikuulize kitu, hivi wewe kwa ufahamu wako na iutu uzima ulionao unadhani CCM wanaishi kwa kutegemea "membership fee" kama Buguruni na ufipa...??

Wakati Wazo ndo wameshikilia makasima yote wanayowalipa kuanzia huyo kibopa wenu mpaka wapiga zumari wote wa ufipa na Buguruni
 
Hilo swali kamuulize Kikwete aliyesema kuna wakati raisi inabidi aingilie kati kunusuru.
 
tatizo la mleta uzi ni kutojua misamiati ya kitaaluma. Tafadhali rejea maana ya mabadiliko yataongeza 'ufanisi' katika chama.
 
Ikikumbukwe wakati anamkabidhi mwenyekiti Magu, Kikwete aliitaja changamoto kubwa inayokikabili chama kuwa ni wanachama kutolipa ada.
Leo katika hotuba yake ameonekana kushangazwa na sababu walizotoa Mwenyekiti na Katibu wake Kinana na kuiacha sababu kubwa na ya msingi wa mabadiliko waliyopendekeza . Ndiyo maana mwanzo amesema "wamekuwa wastaarabu kidogo" !! wameacha sababu ya msingi ya Ukata katika chama.
Suluhisho walilochukua la kukabili tatizo hili na kujificha nyuma eti kuleta ufanisi, limeonekana kumkera Kikwete.
Badala ya kutafuta mbinu ya kuwashawishi wanachama kulipa Ada, wameamua kuwapiga panga wajumbe ili wabaki wachache watakaoweza kulipana posho. Badala ya kutafuta vyanzo vya mapato ili kuweza kugharimia mikutano wameamua kupunguza mikutano na kusema eti wanalenga ufanisi.
Mbinu hii inaonekana kutumiwa Sana na mtawala huyu katika utawala wake: tujiuliza ni wafanyakazi wangapi walikuwa hewa wameondolewa na wangapi walioajiriwa ili hewa isiwe hewa bali wafanyakazi halali.

Mkuu huu mlango ulioingia ni ke.ingilia mlango ule mwingine pale kwa mbele
 
Watu Kwa kukuza mambo, ndo wale school mlikuwa mnaambiwa taja point, unamwaga maelezo tena yakiwa out of point. Post imetepeta
 
Siyo ukata wewe bwiga! Maana yake ni kupunguza gharama za kijinga za uendeshaji ili kuongeza ufanisi. Mfano Lema alipokuwa anafurahia maisha ya gerezani inamaana ilikuwa ni ukata kutokana na JPM alivyokaza mtaani hali tight? ???
 
Kwa nini usipige kura ya hapana ....huko huko ulikokuwa...pia mlipewa nafasi kama mnaweza kuchangia jambo acheni unafiki
 
Ikikumbukwe wakati anamkabidhi mwenyekiti Magu, Kikwete aliitaja changamoto kubwa inayokikabili chama kuwa ni wanachama kutolipa ada.
Leo katika hotuba yake ameonekana kushangazwa na sababu walizotoa Mwenyekiti na Katibu wake Kinana na kuiacha sababu kubwa na ya msingi wa mabadiliko waliyopendekeza . Ndiyo maana mwanzo amesema "wamekuwa wastaarabu kidogo" !! wameacha sababu ya msingi ya Ukata katika chama.
Suluhisho walilochukua la kukabili tatizo hili na kujificha nyuma eti kuleta ufanisi, limeonekana kumkera Kikwete.
Badala ya kutafuta mbinu ya kuwashawishi wanachama kulipa Ada, wameamua kuwapiga panga wajumbe ili wabaki wachache watakaoweza kulipana posho. Badala ya kutafuta vyanzo vya mapato ili kuweza kugharimia mikutano wameamua kupunguza mikutano na kusema eti wanalenga ufanisi.
Mbinu hii inaonekana kutumiwa Sana na mtawala huyu katika utawala wake: tujiuliza ni wafanyakazi wangapi walikuwa hewa wameondolewa na wangapi walioajiriwa ili hewa isiwe hewa bali wafanyakazi halali.

Hivi hizi ideas huwa unaandika ukiwa umetoka kufumania au. Mbona unaforce issue and huoni the big picture. Kama mpinzani wa hicho chama why at all unasumbuka.
 
Back
Top Bottom