Hapana huwezi tumia internet bure huo ni uwongo unless kuwe na upenyo kwenye mtandao ambao hutokea kwa nadra wakijichanganya wenyewe wenye mtandao.
Kuhusu ulinzi inakupa ndio ila watakuekea matangazo kila kona na kama una internet yenye mb chache itaisha mara moja sababu jamaa wana matangazo hadi ya video.
Kama huna matumizi yoyote ya VPN achana nao hawana issue, ila kama utahitaji VPN ya bure jamaa hawana mpinzani.