mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,432
Mkuu nenda mobile data angalia data tracking.Hawa halotel bhana wezi dizaini flani. Nikunga bandle la tigo au voda natumia vizuri hata week kwa GB1. Ila halotel ni siku tatu au nne kwenye simu inaisha.
Najiuliza ni matumizi gani yanayokuwa tofauti tu nikiwa na haloteli? Au hii ni Dar tu?
Acheni wizi nyie Halotel... ***
Utakuta total data ulizotumia na zimetikaje.
Ukitaka kujua ni wezi ama si wezi clear kila kitu unga bando alafu truck utaelewa kwamba wao hawahusiki kuisha kwa data zako