Second hand
Member
- Jan 20, 2013
- 72
- 7
Miye ni mfuatiliaji mzuri wa kipindi cha hotmix Eatv; ni kipindi kizuri cha habari mchanganyiko kikiongozwa na kijana adrian. Ninavutiwa sana 'interview' katika kipindi hicho; maswali ambayo anawahoji wageni yanakuwa technical au magumu ambapo yanatoa changamoto kubwa kwa wageni (kama awajajipanga vizuri). Nakumbuka kuna siku ambaye alikuwa naibu waziri wa uchukuzi alimwambia backround: "kijana una maswali magumu" .Wageni kadhaa wameumbukaaaa.... Teh teh teh
Miye ni mfuatiliaji mzuri wa kipindi cha hotmix Eatv; ni kipindi kizuri cha habari mchanganyiko kikiongozwa na kijana adrian. Ninavutiwa sana 'interview' katika kipindi hicho; maswali ambayo anawahoji wageni yanakuwa technical au magumu ambapo yanatoa changamoto kubwa kwa wageni (kama awajajipanga vizuri). Nakumbuka kuna siku ambaye alikuwa naibu waziri wa uchukuzi alimwambia backround: "kijana una maswali magumu" .Wageni kadhaa wameumbukaaaa.... Teh teh teh
Huyo kijana Adrian ana akili sana na ni level nyingine,nilichogundua kwake ni kuwa ni kijana msomi na tofauti na vijana wa siku hizi,inaelekea Adriana anasoma current issues toka mataifa mbalimbali,anasoma magazeti na mitandao mbalimbali kila siku na pia yaelekea anasoma vitabu mbalimbali vyenye kuleta maarifa,ni nadra sana kwa kizazi hiki kukuta kijana mwenye uelewa wa mambo tafautitofauti kama Adrian.Pia upande wa siasa yuko vizuri pia na navyomuona ni potential leader,nilichogundua ana mtazamo na misimamo fulani kiitikadi ambao uwa hayuko tayari kuuweka wazi na hiyo bila shaka ni kutokana na maadili ya kazi yake,lakini ukimfuatilia kwa makini utatambua yuko upande gani wa game.
Kama unasoma hii post Adrian ,nakutakia kila la heri na Inshalah utafika mbali sana kwani uwezo unao na kipaji unacho pia.Nachojiuliza je yeye ni mtoto wa Charles HIlary.
So what!? I didn't get you. What you want to tell us.
naona hapa kuna kufagiliana...haya usikute post zote hizi mtu mmoja. Adrian Stepp
hahahahahahahaha...ni kweli mtazamo wng..si wako...mtu chake huo ni mtazamo wako tu na si kila mtu ana akili kama zako, pole sana boss!
nimekuambia simfagilii..umesoma vizuri post?usipo mfagilia Adrian Stepp utakua mchawi. hana makuu mtoto wa watu. tujifunze kuwasifu pale wanapofanya vizuri. ni kijana yupi mtangazaji utamlinganisha naye hata kwa robo tu?. big up hatari. mia
...Hukumuelewa Mkuu?? Labda Ni yeye mwenyewe! ndio kwanza amejiunga na Jamvi ndio anajipigia Promo!! heh heh heh🙂
mtu chake huo ni mtazamo wako tu na si kila mtu ana akili kama zako, pole sana boss!
hahahahaha...si mzingui bhana...kijana wng huyo...mtu chake acha kumzingua Adrian Stepp bhanaa...
mtu chake acha kumzingua Adrian Stepp bhanaa...
Nilikua town kwenye mishe mishe..nikapigiwa simu kwamba kuna uzi umeanzisha jukwaa hili..nikafika nikautafuta..sina haja ya kujiuliza na kujijibu maswali eti promo..aina ya kazi yangu nikitaka kujipigia promo si shindwi..si kila mtu anataka sifa kama unavodhani! hua nachukizwa sana na majibu ya aina yako..get busy..fanya yako mzee, si kila uzi lazima uchangie kwa kua upo JF! acha kutumia umeme wa ofisi kufanya umbea..ushamba tu!