Pesa mpya zinachapishwa kuweni wavumilivu.
Kwan ikiuzwa hio hela inapelekwa wapi??Msiwe Na akili Za panzi!! Yaani hotel ikiuzwa ndio uchumi unaanguka??
Sasa mmiliki wa M.meru ni nani? Na mmiliki kwann aiuze kama hana shida na hela?Hela inaenda kwa mmiliki wa sasa.