Kauki za Makonda.
Wazungu sio wajinga.
Na si mliwateka waandishi wa habari juiz bila sababu ya msingi.
Na kayiba itabadilishwa vile vile.
Waitara for prime minister.
Hiki ni kipindi cha low season na hivyo occupancy huwa chini. Katika kipindi hiki management za hotel zinapaswa kuwa wabunifu kama wenzao wanavyofanya nje.
Mimi ninaijua hii industry vyema tu. Peak season ni wakati wa summer na wakati huo watu wengi wa magharibi husafiri kwa mapumziko. Ninakushangaa sana usemapo kuwa kipindi hiki ni high season. Inawezekana kwa vile mimi ni abunwasi sielewi mambo hayo kwa kiwango chako.