Labda wanakwepa kodi.Nimemuona na kumsikia Meneja wa moja ya Hoteli kubwa na maarufu ya Kitalii ya Arusha kwenye taarifa ya habari usiku huu anasema/anajitetea kwa Maofisa wa Serikali kuwa Hoteli ile ina vyumba mia tatu (300) na hakuna Mgeni hata mmoja pale ndani.
Sasa nimejiuliza ni kwamba wao ndio hawapo kwenye right track ama?
Mh Mkuu wrong track vyumba 300 na high season hii? Utalii ume shuka Sana,Kigwangalla anajua utalii ni anti porching tuu maana naona yeye na majangili tuu sioni jitihada zake kuufufua utalii,au sio kipaumbele cha awamu hiiNimemuona na kumsikia Meneja wa moja ya Hoteli kubwa na maarufu ya Kitalii ya Arusha kwenye taarifa ya habari usiku huu anasema/anajitetea kwa Maofisa wa Serikali kuwa Hoteli ile ina vyumba mia tatu (300) na hakuna Mgeni hata mmoja pale ndani.
Sasa nimejiuliza ni kwamba wao ndio hawapo kwenye right track ama?
Sijui kama ameangalia ITV na kumsikia yule Meneja.Mh Mkuu wrong track vyumba 300 na high season hii? Utalii ume shuka Sana,Kigwangalla anajua utalii ni anti porching tuu maana naona yeye na majangili tuu sioni jitihada zake kuufufua utalii,au sio kipaumbele cha awamu hii
Hali ni mbaya Mkuu,kama Arusha utalii uko hivyo sijui darSijui kama ameangalia ITV na kumsikia yule Meneja.
Hakika basi hali ni mbaya.
Ingekuwa mbeya sawa lakini ArushaNa Utalii ni roho ya Arusha, ikitetereka ndio basi tena.
Nimemuona na kumsikia Meneja wa moja ya Hoteli kubwa na maarufu ya Kitalii ya Arusha kwenye taarifa ya habari usiku huu anasema/anajitetea kwa Maofisa wa Serikali kuwa Hoteli ile ina vyumba mia tatu (300) na hakuna Mgeni hata mmoja pale ndani.
Sasa nimejiuliza ni kwamba wao ndio hawapo kwenye right track ama?
hahahhaaaaa[emoji41][emoji41][emoji41] View attachment 932647
Arusha kwa Utalii hivyo vyumba sawa kabisa mbona.
Labda watalii nao vyuma vimekazaNilichomsikia yule Meneja anasema "ni hali tu ya uchumi......"
Sasa sijajua anamaanisha uchumi wa Dunia nzima au Tanzania maana Watalii wanatokea nje ya nchi.
Alikuwa anauma na kupuliza,ni uchumi wa ndani wala sio nje,Kodi zimekua juuNilichomsikia yule Meneja anasema "ni hali tu ya uchumi......"
Sasa sijajua anamaanisha uchumi wa Dunia nzima au Tanzania maana Watalii wanatokea nje ya nchi.