Nisaidie Mkuu.Ulizia mahala pazuri pa kufikia Mwanza kwa elfu thelathini sio Hoteli nzuri mkuu.
Ndiyo Miss Natafuta.ELF 30 HOTEL?
Itakuqa g. House najua wabongo hawajui kutofautishaELF 30 HOTEL?
Kuna annox hotel iko furahisha..ila ni nzuri
Bei ya Hotei ni Tshs. Ngapi kwa Mwanza? Mbona hata Dar na Arusha zipo Hoteli nzuri kwa hiyo bei? Naomba msaada wako kama ipo sehemu nzuri unayoijua kwa hiyo bei na inakidhi hivyo vigezo tafadhali.Bei hiyo ni ya guest siyo hotel kiongozi
Acha basi mkuu. Jamaa yupo serious!Kidogo nikuambie Rayns bay wanaanzia laki 3 mkuu,basi nenda Renana wanaanzai 40000 pazuri
Dinazarde Ahsante sana. Hapo Renana iko wapi hapo Mwanza?Kidogo nikuambie Rayns bay wanaanzia laki 3 mkuu,basi nenda Renana wanaanzai 40000 pazuri
AspenRyan's bay hotel ,,
Hapa utakula upepo Wa ziwa.
Aspain hotel mtaa Wa uswahilini .
Hapa utapata kipozeo bure,
Gold_crest hotel
Hapa ni mkabala na Mwanza hotel bajeti yako ndogo
Mkuu Elungata, zipo sehemu gani pale Mwanza tafadhali?Aspen
newpark
chrismas tree
wande
DJ
Nenda Holmand hotel,kama utabook mapema wahi Sparrow hotel hutojuta huzo sehemu mbiliHabari,
Ndugu zangu, Kwa wenye uzoefu na Hoteli za Jijini Mwanza naomba msaada wenu wa kujua hoteli nzuri, safi na yenye ulinzi jijini Mwanza. Breakfast na Chakula siyo muhimu kwangu. Gharama isiwe zaidi ya 30,000 TZS kwa siku. Pia kwenye vyumba ni muhimu kuwe na kiti pamoja na meza nzuri ya kuweza kufanyia kazi kwenye Laptop na hata kuandikia. TV pia sio muhimu sana lakini kama ipo, then hakuna shida. Cha msingi ni usalama, usafi, maji ya moto kwa ajili ya kuogea, kiti, meza nzuri na isiwe nje ya Mji.
Natanguliza shukrani.
Mkuu Kabas, Kati ya hizo mbili ipi iko poa zaidi na location ni wapi? Nitakaa hapo zaidi ya wiki, hivyo nahitaji sehemu tulivu ili niweze kufanya majukumu yangu. Naomba usinichoke tafadhali nisaidie hizo taarifa Mkuu.Nenda Holmand hotel,kama utabook mapema wahi Sparrow hotel hutojuta huzo sehemu mbili