Hoteli Nzuri Mwanza (TZS 20,000-30,000) kwa siku

Ficha upumbavu wako, Mwanza anapata hotel kwa bei hizo na hata Taxi hapa bei powa kabisa utadhani kunachimbwa mafutwa.
Punguzeni kuropoka kwa msiyoyajuwa.
Hata kuandika hauwezi ndio utafahamu bei za hotels mkuu
 
Ok, kama ulilala hapo jana kwa bei hii nieleze ni chumba gani hiki?

Note nimeshalala vyumba vya level zote hapo La kairo, tel me.
Can't help but wonder if you are genetically pre-disposed to ask such ignorance exposing questions or is it that you just don't know any better!!!
 
Kuna moja inaitwa MAHAHA HOTEL...Hapo nilishawahi kulala kwa tsh 7,000/
Eeeh hiyo ndo itamfaa sana huyo mchovu maana mtu mwenyewe anasema mradi pawe na meza na kiti tu vitu vingine siyo hitaji lake! Hapo Mahaha atapata kiti na meza safi tu!! Au aende pale Busigasolwe!!
 
Nenda gold crest utapata room za 30,000 au nyumbani pale sio mbaya
Nyumbani haipogo bana, asithubu kwenda gold crest na 30000 yake bora aliyemshauri aende Pentagon, iko city centre, rwagasole street
 
Hivi ile lake Hotel bado ipo?ilikua nyuma ya uwanja wa Nyamagana ,nilienda Mwanza mwaka 2004 bei yake ilkuwa chumba shs 8000/-na kuna Hotel moja ilikua inaitwa Christmas tree yenyewe ndio ilikua mpya mpya enzi hizo,dah nimeimiss sana mwanza itabidi ntafute hela nikatembee kwani nasikia imebadilika sana,yaani imekuwa bab kubwa.
 
Ok, kama ulilala hapo jana kwa bei hii nieleze ni chumba gani hiki?

Note nimeshalala vyumba vya level zote hapo La kairo, tel me.
Matola mzazi duh we kiboko umelala vyumba vyote vile hamsini na kitu! Haya chief nisiwe mbishi sana ila kwa kifupi tu ndo kama nilivyokueleza nimelala chumba cha elfu 45
1473888829145.png
1473888838548.png
 
Matola mzazi duh we kiboko umelala vyumba vyote vile hamsini na kitu! Haya chief nisiwe mbishi sana ila kwa kifupi tu ndo kama nilivyokueleza nimelala chumba cha elfu 45 View attachment 400400View attachment 400401
Division Five mna shida sana, ndio maana mnaferi sana mitihani, ni wapi niliposema nimelala vyumba vyoye zaidi ya 50?

Hivi unajuwa hata maana ya Category wewe?

BTW hiyo brochure inaonesha ni effectively from September 1 that means hizo ni price list mpya za mwezi huu, hii ni results za mdororo wa uchumi watu hawana pesa nyanya kisado jero na zinaozea shambani.

La kairo wametumia akili kushusha bei za vyumba hali ni mbaya mtaani, nikirudi Dar nataka nifike Ramada hotel nione ile bei yao ya bufeet kama bado ni ileile 50,000/=

Kwa mujibu wa Gavana wapiga dili na misheni town wamedhibitiwa haya kama na hizi hotel ni mission town basi sawa.
 
Habari,
Ndugu zangu, Kwa wenye uzoefu na Hoteli za Jijini Mwanza naomba msaada wenu wa kujua hoteli nzuri, safi na yenye ulinzi jijini Mwanza. Breakfast na Chakula siyo muhimu kwangu.

Gharama isiwe zaidi ya 30,000 TZS kwa siku. Pia kwenye vyumba ni muhimu kuwe na kiti pamoja na meza nzuri ya kuweza kufanyia kazi kwenye Laptop na hata kuandikia. TV pia sio muhimu sana lakini kama ipo, then hakuna shida.

Cha msingi ni usalama, usafi, maji ya moto kwa ajili ya kuogea, kiti, meza nzuri na isiwe nje ya Mji.

Natanguliza shukrani.
Hotel kwa 20,000/= - 30,000/=??? Labda kama ni Guest houses
 
Nitumie fursa hii kuwaalika wageni kutoka nje ya Mwanza kuweza kufika LAKAIRO HOTEL bei yetu ya chini n tsh. 40000 kwenye old wing ila chumba kwenye new wing bei ya chini n Tsh. 60000/= hotel yetu n nzuri na ina offer breakfast nzr sehemu nzr ya packing na vyakula vitamu vyenye hadhi ya kimataifa pia tunayo lounge moja matata ambayo unaweza ukapumzika na mrembo wako au mpendwa wako
Baada ya hbr hiyo nitumie fursa hiyo kumwalika huyu ndugu akaribie LAKAIRO tutazungumza
By Osunga Pasaka
0756231744
Operations manager
Lakairo hotel.
 
Back
Top Bottom