Hoteli inauzwa bei poa, tamu

Hoteli inauzwa bei poa, tamu

nzalendo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
12,701
Reaction score
14,095
Ni mpyaaaaa
Inafanya kazi--yaani ina operate mpaka sasa inaingiza fedha.
Hotel ya kisasa, kilometa 43 kutoka dar.ukubwa heka 3.vyumba 21,bar na majiko 2.conference watu 50.ukumbi watu 300 na ofisi.imezungushiwa ukuta.
Hati zote zipo.lease miaka 99 kuanzia 2014.
(mie mjumbe lakini nimekabidhiwa every thing docum'ee etc)
unakaribihswa pm kwa mazungumzo bariidi hata kama ni dalali/mtu kati karibu.
 

Attachments

  • ENTRANCE.jpg
    ENTRANCE.jpg
    160.4 KB · Views: 517
  • CONFERENCE.jpg
    CONFERENCE.jpg
    132.7 KB · Views: 468
  • BED ROOM.jpg
    BED ROOM.jpg
    45.8 KB · Views: 476
  • BAR.jpg
    BAR.jpg
    54.4 KB · Views: 443
  • GARDEN.jpg
    GARDEN.jpg
    170.4 KB · Views: 433
  • SIDE VIEW II.jpg
    SIDE VIEW II.jpg
    104.8 KB · Views: 435
  • SIDE VIEW.jpg
    SIDE VIEW.jpg
    138.7 KB · Views: 424
  • PARKING.jpg
    PARKING.jpg
    128.5 KB · Views: 420
kilometa 43 kutoka Dr kuelekea wapi?
bagamoyo road au morogoro road au kilwa road?
 
kilometa 43 kutoka Dr kuelekea wapi?
bagamoyo road au morogoro road au kilwa road?
Kilwa Rd mkuu, ukipita barabarani unaiona, na kama wewe ni
mbunifu basi waweza karibisha mabasi yakawa yanapata chakula
au kujenga kituo cha mafuta eneo ni kubwa sana na linaruhusu.
 
Kilwa Rd mkuu, ukipita barabarani unaiona, na kama wewe ni
mbunifu basi waweza karibisha mabasi yakawa yanapata chakula
au kujenga kituo cha mafuta eneo ni kubwa sana na linaruhusu.

Weka bei mkuu, vp unaweza kukopesha?
 
Weka bei mkuu, vp unaweza kukopesha?
Mkuu unaweza kukopa bank, halafu ukaja kununua.
Bei usd 1.2m maongezi yapo.
(Kwa kifupi inafanya kazi haijafungwa,hapa tunazungumza kule hela inaingia.)
 
Mkuu unaweza kukopa bank, halafu ukaja kununua.
Bei usd 1.2m maongezi yapo.
(Kwa kifupi inafanya kazi haijafungwa,hapa tunazungumza kule hela inaingia.)
Hii bei hata kwa Bagamoyo Rd bado wangelikubishia, ingelikuwa Morogoro Rd wangelikwambia Us $300,000 na kwa kilomita hizo hizo kwa Pugu Rd wajuzi wangelikwambia US $100,000. Kwa Kilwa Rd nina shaka na hiyo bei uliyoweka!

 
hii bei hata kwa bagamoyo rd bado wangelikubishia, ingelikuwa morogoro rd wangelikwambia us $300,000 na kwa kilomita hizo hizo kwa pugu rd wajuzi wangelikwambia us $100,000. Kwa kilwa rd nina shaka na hiyo bei uliyoweka!

huelewi!
 
Back
Top Bottom